Salama kabisa Muheshimiwa. Nipo tu nilikuwa naiangalia simba yangu hapaOooh mkuu Gazeti habari ndugu?
Mi nasubiri kuona tako za mtu aliyesema atatembea uchi tukishinda
Libolo FC.Simba kapigwa kimoja kama cha Libolo fc
Daah mkuu simba wametunyima raha kabisa Leo!! Tatizo sijui uongozi au maana timu imepanguliwaSalama kabisa Muheshimiwa. Nipo tu nilikuwa naiangalia simba yangu hapa
Timu inacheza Vizuri tatizo soka la Bongo, hatutaki kufungwa.Daah mkuu simba wametunyima raha kabisa Leo!! Tatizo sijui uongozi au maana timu imepanguliwa
Hasa sisi wakujiita wakongwe simba na yanga! Kweli timu inacheza vizuri kbsa lakini tujipe moyo muda badoTimu inacheza Vizuri tatizo soka la Bongo, hatutaki kufungwa.
Timu inacheza Vizuri tatizo soka la Bongo, hatutaki kufungwa.
Asubuhi ulikuwa mbishi sana kila tukikueleza timu lako ni la wazee wewe unabisha tu umeona sasa!!!Nimekubali matokeo...!!
Kweli bongo nyoso... ambae hakuona mpira amekuamini kabisa.Kaingia kipindi cha pili Hakugusa hàta mpira mpaka mèchi inaisha
Umeonaeeee. Kwani wanachelewa basi.Possession sio kila kitu siku hizi...mpira magoli wamemiliki kwa asilimia kubwa lakini washindi ni Mbao Fc
Natabiri mtafutano utaanza kwa mikia Fc