Sisi na baadhi ya mashabiki wa Yanga wenye akili tunaelewa nini kilicho sababisha Simba kupoteza huu mchezo. Tunajua nini kinacho endelea na ndio maana binafsi sikushangaa sana na sita shangaa hata nilisikia Simba imefungwa na Mwadui Fc juma pili. Ila nawahakikishia soon yanayo endelea yatakuwa solved na Simba mnayo icheka leo kwa kupoteza huo mchezo mtaichukia. Pili niwakumbushe mashabiki wa Yanga kuwa msimtukane mamba kabla hamjavuka mto. Mpaka sasa hamjatoka kwenda kucheza mechi yoyote ya ugenini. Zote mmechezea Taifa pale. Lakini hata hao mbao mnao washangilia leo kwa kuwafunga Simba mnawajua vizuri wanavyo wafanya wakiwa kwao CCM kirumba na bado hamjaenda! Anyway tusije tukakimbiana humu