Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaaa ngoja nami niazime kwa leo niazime ile kauli yako inayosema kua muda utaamuaHahahaaa. Unadhani nina shaka nalo hilo basi Sesten.
Nashangaa tu nyie mliojigamba mna kikosi kipana iweje mkumbane na hizi mambo ambazo kikawaida ziko Yanga tu. 😂😂😂
Hahahaaa. Kabisaaaaa "muda utaamua" 😂😂😂😂Hahahaaaa ngoja nami niazime kwa leo niazime ile kauli yako inayosema kua muda utaamua
Usifanye mchezo na usajili makini wenye thamani ya karibia 1.3bilion. Kwa viwango vya kibongobongo hakuna anayetia mguu hapo
na kitawaka kweli aiseeUmeonaeeee. Kwani wanachelewa basi.
Soon kitawaka. 😂😂😂
yajayo yanahuzunisha, wameyataka wenyewe kwanzaWalishapoteana kuanzia kwenye usajili.... Hawataona impact yake kwasasa ... Ila wajiandae kisaikolojia