Baada ya kumpa golikipa hela[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nipo.. Mpira Dk. 90.. Kwani mara ya mwisho tulivyokuja hapa ililuaje? Walianza kutufunga 2 kipindi cha 2 zikarudi zote. Hawa wetu leo.
Labda muwape hela na leo kama ambavyo huwa mnawapaSio kumuachia ni kwamba mbao hana uwezo wa kuondoka na Point 3 mbele ya simbaaaaaaaaaa
Tulia unyolewe.Nimeamini kuna uchawi kwenye mpira,Mbao wameweka majini golini
Bado moja... leo ndio mwisho wenuMkuu idadi ya matunguli, inazidi idadi ya mashabiki wa Mbao.
Mkuu uchawi haufui dafu mbele ya simbaaaaaaaa hizo mbao zitapigwa tuuuuMkuu idadi ya matunguli, inazidi idadi ya mashabiki wa Mbao.
Tulikuwa tukiwapa wakati mgumu kwenye mechi yenu. Naona leo zamu yenu, lakini mpira mpaka uishe ndo tuona.Hahahaaaaa. Yaani hapa nakumbuka maneno yenu ya jana na asubuhi basi nacheeeeka hatari.
Haya tuzisubiri aisee Mtani.
Hauishi huu mpaka MIKIA wapigwe la pili...[emoji23][emoji23]Huu mpira si uishe tu?
Chura churani kruuuu krruuuu kruuu kruuuuuMbao piga mikia hao mbu mbu mbu
Baiskeli yao ya Barafu imeshaanza kuyeyuka....safari ikiwa bado mbichi...[emoji23][emoji23]Mbao piga mikia hao mbu mbu mbu
Mkuu tunaranda hizi mbao msituniLabda muwape hela na leo kama ambavyo huwa mnawapa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]mudaa wa half time viongozi wa mikia wameingia kwenye vyumba vya mbao fc, jamani mwenye namba za takukuru mwanza naomba anitumie inbox fasta tukawanase, ndani ya dakika 5 watakuwa wamemaliza 'biashara'