Ligi Kuu ya Tanzania Bara: Mbao FC yaitandika Simba SC kwa goli 1-0

Hahahaaaaa. Yaani hapa nakumbuka maneno yenu ya jana na asubuhi basi nacheeeeka hatari.

Haya tuzisubiri aisee Mtani.
Tulikuwa tukiwapa wakati mgumu kwenye mechi yenu. Naona leo zamu yenu, lakini mpira mpaka uishe ndo tuona.
 
Mashabiki wa Simba mpaka dk hii
IMG_20180920_083042.jpg
 
mudaa wa half time viongozi wa mikia wameingia kwenye vyumba vya mbao fc, jamani mwenye namba za takukuru mwanza naomba anitumie inbox fasta tukawanase, ndani ya dakika 5 watakuwa wamemaliza 'biashara'
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom