Mmewapa leo mbao fc bei gani?Simba ni team yenye hela bhanaaaaaa huwa haifungwi .
Yes tuna kikosi kizuri.
Naona juzi liver mmeshinda.
Mimi team zangu zote majanga, Man u nae ndiyo anajikongoja.
man u kisharudi kwenye right trackYes tuna kikosi kizuri.
Naona juzi liver mmeshinda.
Mimi team zangu zote majanga, Man u nae ndiyo anajikongoja.
Simba ni team yenye hela bhanaa haifungwi .Mmewapa leo mbao fc bei gani?
Yes jana kashinda ila bado nina wasi wasi hawachelewi kuvurunda tenaman u kisharudi kwenye right track
Haya mkuu jioni njema.Man Utd ni wazuri sana, basi tu ugomvi wa kocha na wachezaji.
Haya mkuu jioni njema.
nipe matokeoHahahaaaa. sembo nisaidie kujibu Mtani. [emoji12][emoji12][emoji12]
simba huwa ni timu mbovu basi tu magazeti watangazaji huwa wanaikuzaNa wewe pia mkuu, nasubiri nimsikie Manara anatwambia nini.
Maana ugomvi wa makocha nahisi ndo unaleta hii mikosi.