Ligi Kuu ya Tanzania Bara: Mbao FC yaitandika Simba SC kwa goli 1-0

Wakuu zangu hawa Mbao si wazee wa Tunguri tu ni Wezi pia.. Nimeibiwa simu yangu.. Hapa natumia simu ya Msemaji wa Timu. Hivyo nitapotea jukwaani kwa muda. Lini nitarudi? Sijajua.

Ahsanteni.
 
Wakuu zangu hawa Mbao si wazee wa Tunguri tu ni Wezi pia.. Nimeibiwa simu yangu.. Hapa natumia simu ya Msemaji wa Timu. Hivyo nitapotea jukwaani kwa muda. Lini nitarudi? Sijajua.

Ahsanteni.
Jana nilikwambia kuanzia leo lazima ukae eneo korofi. Pole sana Mtani sababu naona Bundi anahamia Msimbazi.
 
Poleni Wana Simba, Poleni Uongozi wa Klabu,Pole Manara huo ndiyo mpira dakika 90. Sasa tuwasubiri watani wa jadi. Usajii mlifanya wa nguvu lakini mpira ndo ulivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…