laki si pesa.
JF-Expert Member
- Jul 14, 2015
- 10,003
- 9,755
Watabutua butua kama walivyofanya na NdandaSaa 10 si mbali.. Ili tushuhudie hizo butua butua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watabutua butua kama walivyofanya na NdandaSaa 10 si mbali.. Ili tushuhudie hizo butua butua
Yanga amecheza mechi ngapi na simba amecheza mechi ngapi?Yanga mechi chache lakini wanaongoza ligi...Simba mechi nyingi hakuna kitu...Mbu mbu mbu FC
saa ngapi nijiandae?Simba wakishinda leo, nitatembea uchi kariakoo..... Simba lazima wafungwe..Okwi, Bocco, Kagere ni magarasa tu hakuna kitu pale
Kosi hatarii hilo lazima litoe drawMbwembe zipi Mkuu.. Umeona lakini kosi la maangamizi?
Aisee subiri 10 kamili uone jinsi tunavyoranda mbaoSimba wakishinda leo, nitatembea uchi kariakoo..... Simba lazima wafungwe..Okwi, Bocco, Kagere ni magarasa tu hakuna kitu pale
Aiseee naona unajifarijimbao 5..... simba 0.
Aiseeeeeeee.Simba wakishinda leo, nitatembea uchi kariakoo..... Simba lazima wafungwe..Okwi, Bocco, Kagere ni magarasa tu hakuna kitu pale