Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,480
- 4,775
Matokeo ya Simba vipi
Simba 1-0 Coastal
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Matokeo ya Simba vipi
Mwadui 1 Yanga 2 dk 82
Simba 1 Coastal Union 0 dk 80
Mwadui 1 Yanga 2 dk 82
Simba 1 Coastal Union 0 dk 80
Mwadui 2 - 2 Yanga
Yanga wanashambuliwa balaa
Simba 1-0 Coastal
Mkuu mechi haijamalizika?
Asante sana Mwadui FC.
Asante sana Julio.. leo ndo nimeamini kauli yako kua "Yanga ni sawa na mti wa maembe uliopo uwani kwangu.. Nikijisikia hamu ya embe, natoka nje na kuchuma"
Julio hakuwepo, alihofia kipigo cha 8-0.
Asante sana Mwadui FC.
Asante sana Julio.. leo ndo nimeamini kauli yako kua "Yanga ni sawa na mti wa maembe uliopo uwani kwangu.. Nikijisikia hamu ya embe, natoka nje na kuchuma"
Kesho Azam tunashika usukani wa ligi kuu.
Julio hakuwepo, alihofia kipigo cha 8-0.