Ligi Kuu ya Vodacom kuendelea kesho

Ligi Kuu ya Vodacom kuendelea kesho

Asante sana Mwadui FC.

Asante sana Julio.. leo ndo nimeamini kauli yako kua "Yanga ni sawa na mti wa maembe uliopo uwani kwangu.. Nikijisikia hamu ya embe, natoka nje na kuchuma"
 
Julio hakuwepo, alihofia kipigo cha 8-0.
 
Asante sana Mwadui FC.

Asante sana Julio.. leo ndo nimeamini kauli yako kua "Yanga ni sawa na mti wa maembe uliopo uwani kwangu.. Nikijisikia hamu ya embe, natoka nje na kuchuma"

INA MAANA YANGA ILIKOSA PESA ZA KUNUNULIA HII MECHI? walishindwa hata kuwanunua mabeki wawili na kipa wa mwadui? this is not fair bwana. au sababu mwadui nao pesa kwao ipo? anyway kuna timu tutakuja kuzifunga kwa kununua mechi zao.
 
Back
Top Bottom