TEAM 666 JF-Expert Member Joined Dec 7, 2017 Posts 4,399 Reaction score 8,594 Jan 23, 2021 #1 Shikomooni wakubwa zangu Moja kwa moja bila kupoteza muda twende kwenye mada Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania (VPL) imeshika namba MOJA kwa ubora Afrika Mashariki , namba NANE barani Afrika na namba 71 duniani kwa mwaka 2020. Taarifa hiyo ni kwa mujibu wa Shirikisho la Kimataifa la Historia na Takwimu za Mpira wa Miguu ( IFFHS ) Social www.iffhs.com Neno moja la pongezi kwa BODI YA LIGI NA TFF
Shikomooni wakubwa zangu Moja kwa moja bila kupoteza muda twende kwenye mada Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania (VPL) imeshika namba MOJA kwa ubora Afrika Mashariki , namba NANE barani Afrika na namba 71 duniani kwa mwaka 2020. Taarifa hiyo ni kwa mujibu wa Shirikisho la Kimataifa la Historia na Takwimu za Mpira wa Miguu ( IFFHS ) Social www.iffhs.com Neno moja la pongezi kwa BODI YA LIGI NA TFF
orturoo JF-Expert Member Joined Mar 13, 2017 Posts 2,947 Reaction score 4,876 Jan 23, 2021 #2 Kwenye chan tumezingua
Kennedy JF-Expert Member Joined Dec 28, 2011 Posts 54,894 Reaction score 64,043 Jan 23, 2021 #3 Shukrani Sana Awamu Hii Ya Tano Kufanikisha Hili
isajorsergio Platinum Member Joined Apr 22, 2018 Posts 4,143 Reaction score 6,560 Jan 23, 2021 #4 Hongera! Bado yanahitajika maboresho takribani matano, na itakuwa ligi bora.
Lutandagula JF-Expert Member Joined Apr 8, 2018 Posts 1,762 Reaction score 2,154 Jan 23, 2021 #5 Mitano tena.
TEAM 666 JF-Expert Member Joined Dec 7, 2017 Posts 4,399 Reaction score 8,594 Jan 23, 2021 Thread starter #6 orturoo said: Kwenye chan tumezingua Click to expand... Wanadai leo majira ya saa 4 usiku wana Jambo lao huko chan
orturoo said: Kwenye chan tumezingua Click to expand... Wanadai leo majira ya saa 4 usiku wana Jambo lao huko chan
O Otorong'ong'o JF-Expert Member Joined Aug 17, 2011 Posts 37,957 Reaction score 26,414 Jan 23, 2021 #7 Bila Simba tusingefika hapo...Hongera Chama kubwa Simba
Bengalisis JF-Expert Member Joined Jun 8, 2018 Posts 1,847 Reaction score 2,768 Jan 23, 2021 #8 Aiseeeee
TEAM 666 JF-Expert Member Joined Dec 7, 2017 Posts 4,399 Reaction score 8,594 Jan 23, 2021 Thread starter #9 Otorong'ong'o said: Bila Simba tusingefika hapo...Hongera Chama kubwa Simba Click to expand... bila kuwasahau UNBETEAN waligi kuu bala na top list wa ligi Timu la wananchi Dar Yong Africans Sports Club.
Otorong'ong'o said: Bila Simba tusingefika hapo...Hongera Chama kubwa Simba Click to expand... bila kuwasahau UNBETEAN waligi kuu bala na top list wa ligi Timu la wananchi Dar Yong Africans Sports Club.
N nguvu JF-Expert Member Joined Jun 13, 2013 Posts 22,976 Reaction score 22,564 Jan 23, 2021 #10 isajorsergio said: Hongera! Bado yanahitajika maboresho takribani matano, na itakuwa ligi bora. Click to expand... Kwanza kabisa marefa
isajorsergio said: Hongera! Bado yanahitajika maboresho takribani matano, na itakuwa ligi bora. Click to expand... Kwanza kabisa marefa
N nguvu JF-Expert Member Joined Jun 13, 2013 Posts 22,976 Reaction score 22,564 Jan 23, 2021 #11 TEAM 666 said: bila kuwasahau UNBETEAN waligi kuu bala na top list wa ligi Timu la wananchi Dar Yong Africans Sports Club. Click to expand... Duuu! Umeandikaje mzee, BALA, YONG
TEAM 666 said: bila kuwasahau UNBETEAN waligi kuu bala na top list wa ligi Timu la wananchi Dar Yong Africans Sports Club. Click to expand... Duuu! Umeandikaje mzee, BALA, YONG