Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania (VPL) imeshika namba MOJA kwa ubora Afrika Mashariki

Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania (VPL) imeshika namba MOJA kwa ubora Afrika Mashariki

TEAM 666

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2017
Posts
4,399
Reaction score
8,594
Shikomooni wakubwa zangu

Moja kwa moja bila kupoteza muda twende kwenye mada

Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania (VPL) imeshika namba MOJA kwa ubora Afrika Mashariki , namba NANE barani Afrika na namba 71 duniani kwa mwaka 2020.

tanfootball-___CKY9u8NBqDZ___-.jpg

Taarifa hiyo ni kwa mujibu wa Shirikisho la Kimataifa la Historia na Takwimu za Mpira wa Miguu ( IFFHS )

Social www.iffhs.com

Neno moja la pongezi kwa BODI YA LIGI NA TFF
 
Back
Top Bottom