Ligi Kuu ya Vodacom (VPL): Yanga SC 3-3 Polisi Tanzania

Hongereni timu ya Wananchi japo Kwa droo maana leo taulo ingeanguka mbele ya ma mkwe!!

Mjiandae, Simba atawa.....!!
 
Timu pekee kwenye ligi ya Tanzania ina point 1 maweeeeeh twafaaaah.
 
Daah Simba Mungu anawaona aisee, mnawapa police chochote ili watukazie?

Alisikikà mlevi mmoja akisema
 
Nawaona coastal union wakijichukulia mwali kiulaini j2
 
Hongereni timu ya Wananchi japo Kwa droo maana leo taulo ingeanguka mbele ya ma mkwe!!

Mjiandae, Simba atawa.....!!
Yaani. Najua ingekuwa furaha sana kwenu.

Hiyo ya Simba na Yanga huwa haitabiriki na si ajabu tukawakalisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…