Ligi Kuu ya Vodacom (VPL): Yanga SC 3-3 Polisi Tanzania

Ligi Kuu ya Vodacom (VPL): Yanga SC 3-3 Polisi Tanzania

Waendeleee kubaki humo humo bwawani walikojificha.Sisi midume ya ukweli ya Simba tuko tayari kushangilia nawe dada yetu Shadeeya ikiwa utashinda, ingawa odds za kufanya hivyo bado zinakugomea.
Hahahaaa. Walikuwa busy na majukumu bana naona wameanza kuja kuja.

Bora aisee munisaidie kushangilia japo najua ni kwa sababu ya hii suluhu. Ningefungwa mngekuwa mnanizodoa sasa.😀
 
Watani zetu binafsi napenda muwe juu mtoe ushindani halisi. Simba bila Yanga imara italala!

Go go go high Yanga!
 
Full Time Timu ya Wananchi 3 - Polisi Tanzania 3.

"Daima mbele nyuma mwiko"
 
  • Thanks
Reactions: ram
Back
Top Bottom