Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Yaani. Waje tu sababu ndio timu yetu hiyo.Aiseee Shadeeya nimekukubali wewe ni mpiganaji.Yaani wenzako wameutelekeza uzi ila wewe bado unakomaa? Halafu utashangaa mkishinda watajitokeza wengi kama nzi.
Tunafanyaje sasa hapo. Waje tu tufurahi na kununa pamoja.