Ligi Kuu ya Vodacom (VPL): Yanga SC 3-3 Polisi Tanzania

Ligi Kuu ya Vodacom (VPL): Yanga SC 3-3 Polisi Tanzania

tatizo la YANGA ni ZAHERA sio wachezajiii, fukuza wote kuanza moja sio ujinga

Ni benchi lote la ufundi lifyekelewe mbali! Yaani mchezaji ametoka Uganda na mwili wa kawaida tu, anakaa na timu miezi michache tu na kuongezeka uzito kirahisi tu.

😁Naona Molinga ameona mwezi, sijui kama mikia fc takunywa maji.
 
Wananchi tupo Molinga anaturudisha mchezoni kwa goli kali na la uwezo mkubwa.
 
Vyura wanatakiwa wapigwe leo hata 5 ili akili zikae Sawa!

Matola mbona hatukuelewi?

Nyama ya chura inaliwa Bana!!
 
Back
Top Bottom