Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ooh, wajitahidi wapate la ushindi, dk 10 nyingi sanaDkk ya 80 Dada magoli ni 3 kwa 3.
Japo walitutangulia kisha tukasawazisha.
Hahahaaa. Walikuwa busy na majukumu bana naona wameanza kuja kuja.Waendeleee kubaki humo humo bwawani walikojificha.Sisi midume ya ukweli ya Simba tuko tayari kushangilia nawe dada yetu Shadeeya ikiwa utashinda, ingawa odds za kufanya hivyo bado zinakugomea.
Hakika.Ooh, wajitahidi wapate la ushindi, dk 10 nyingi sana
Comment tu mtani mana saa hii najua kauli zako zitakuwa za kusomeka kidogo na sio kama tungekuwa tumefungwa.
Waje tu sababu huwa mpira una matokeo matatu siku zote.
-Kufunga
-Kufungwa
-Sare
Huyo hana tofauti na AKILIMALI.mzee akilimali alisema
Nahitaji ushindi Mtani japo ikitokea Suluhu sio mbaya kuliko kufungwa mana hatutakunywa maji hapa.Kwani Draw unaitaka?
Ila nyie. Daah.FIFA wameongeza kipengele kimoja
Kwahivyo mpira una matokeo manne!
1.Kushinda
2.Kufungwa
3.Kujifunga (kwa hisani ya Makame)
4.Sare
Hawa Polisi wanakula Rushwa mpk mpirani? Yaani wanafungwa na Molinga????
Vyura wanatakiwa wapigwe leo hata 5 ili akili zikae Sawa!
Matola mbona hatukuelewi?
Nyama ya chura inaliwa Bana!!
Mkuu kauli zako bana.Watani zetu binafsi napenda muwe juu mtoe ushindani halisi. Simba bila Yanga imara italala!
Go go go high Yanga!
Dada wakati mwingine navaa vazi la utani halisi, full kuwabeza but inside me kama nipendavyo CHADEMA isife ili CCM isilale, same to Yanga!Mkuu kauli zako bana.
Oooh. Hapo sawa.Dada wakati mwingine navaa vazi la utani halisi, full kuwabeza but inside me kama nipendavyo CHADEMA isife ili CCM isilale, same to Yanga!