Ligi Kuu ya Vodacom (VPL): Yanga SC 3-3 Polisi Tanzania

Yanga wanashindana na biashara united kuwa wa mwisho.
Timu ya Wananchi bwahahaaaaaaaaaah

Hakuna tatizo hapo...tutachupa tu...mchezo na coastal utatupatia pointi tatu...
 
Sijaangalia mchezo.....lakini niliusikiliza ...nina uhakika mmchezo ujao coastal analala ...na molinga atakuwa mfungaji bora mwisho wa ligi

Tujipange tu kurekebisha makosa
 
Yaani. Najua ingekuwa furaha sana kwenu.

Hiyo ya Simba na Yanga huwa haitabiriki na si ajabu tukawakalisha.
Hiyo ilikuwa miaka ya nyuma, now mambo yamebadilika,miaka ya nyuma vikosi vya yanga na simba vilikuwa vinapishana kidogo sana kiuwezo, ndo maana ilikuwa ngumu sana ku predicts nani ana win game! Now yanga akicheza na simba, simba anaonekana mwenye asilimia nyingi za ku win game kutokana na kikosi alichonacho.
 
Oooh. Basi sawa Mkuu.

Ila uwe karibu siku hiyo.
 
Poleni Timu ya Yanga. Pia mimi ni mshabiki wa Yanga lakini tayari mmeanza kupoteza mwelekeo. Nilidhani usajili wenu ulikuwa wa Kamataifa kumbe sivyo. Karibu mfungwe na Polisi ni ajabu sana. Nimewasikitikia sana. Poleni sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…