Zesh
JF-Expert Member
- Apr 27, 2017
- 15,395
- 25,049
Sawa na iwe hivyoMovement inaanza rasmi...ndio tuna print mabango
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa na iwe hivyoMovement inaanza rasmi...ndio tuna print mabango
Tujipange game ijayo
Yanga wanashindana na biashara united kuwa wa mwisho.
Timu ya Wananchi bwahahaaaaaaaaaah
Sijaangalia mchezo.....lakini niliusikiliza ...nina uhakika mmchezo ujao coastal analala ...na molinga atakuwa mfungaji bora mwisho wa ligi
Imani ya kutoka draw, yaani mmeishiwa nyie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo ilikuwa miaka ya nyuma, now mambo yamebadilika,miaka ya nyuma vikosi vya yanga na simba vilikuwa vinapishana kidogo sana kiuwezo, ndo maana ilikuwa ngumu sana ku predicts nani ana win game! Now yanga akicheza na simba, simba anaonekana mwenye asilimia nyingi za ku win game kutokana na kikosi alichonacho.Yaani. Najua ingekuwa furaha sana kwenu.
Hiyo ya Simba na Yanga huwa haitabiriki na si ajabu tukawakalisha.
Halooo njoo uchukue pole yako huku hahahaaaaaaaaaa wuuuuuuyiiiiteteeeeeePoleee mkuu
Mmejitahidi sana kwa huu ushindi wenu. Hongereni sana.Full Time Timu ya Wananchi 3 - Polisi Tanzania 3.
"Daima mbele nyuma mwiko"
Usingeandika hapa Mtani ningeandamana.
Oooh. Basi sawa Mkuu.Hiyo ilikuwa miaka ya nyuma, now mambo yamebadilika,miaka ya nyuma vikosi vya yanga na simba vilikuwa vinapishana kidogo sana kiuwezo, ndo maana ilikuwa ngumu sana ku predicts nani ana win game! Now yanga akicheza na simba, simba anaonekana mwenye asilimia nyingi za ku win game kutokana na kikosi alichonacho.
Mutuelekeze kwa yule wenu basi Mtani. 😎😎Timu yenu nzuri.
Tatizo ni mganga badilisheni
Unadhani tunakataa Mtani. Ila Ligi bado mbichi mjue.
goli la Molinga, ndio goli bora toka ligi ianze, bonge ya goli
Ipo shida japo tunashinda game hii
Nipo nipo. Leo ndio ule muda wa kulipa kisasi kwa Polisi Tanzania.
ila sisi YANGA tukubali mwaka huu ni mdebwedo tu, hata machizi watajipigia .Waje tu sababu huwa mpira una matokeo matatu siku zote.
-Kufunga
-Kufungwa
-Sare
Poleee mkuu