barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
#VPLLeo
Kikosi cha Timu ya Wananchi kitakachoumana dhidi ya polisi tanzania.
View attachment 1222637
Bado miaka nane, kumbuka tageti yetu ni miaka 10 angalau ndio tutalegeza. Vikauli vya bingwa wa kihistoria tunataka chinjia huko...ila sisi YANGA tukubali mwaka huu ni mdebwedo tu, hata machizi watajipigia .
MTUONEE huruma jamani ,loh , tuwe walau top 5 ya mwaka huu, maana ubingwa haiwezekani tenaBado miaka nane, kumbuka tageti yetu ni miaka 10 angalau ndio tutalegeza. Vikauli vya bingwa wa kihistoria tunataka chinjia huko...
Ila unajuaga kunibananisha Mtani japo ikija kwako unanikimbia.Tena matokeo ya Kisasi chenu ikawaje?
Naogopa imechorwa chorwa, cha kushangaza trafiki walikuwepo pale lakini hawakumkata yule jamaa![emoji44][emoji44]Kaka si ungezichukua tu? [emoji41][emoji41]
Yaani na si ajabu Coastal wakatusumbua vilevile.ila sisi YANGA tukubali mwaka huu ni mdebwedo tu, hata machizi watajipigia .
πππ Hivi Mtani maisha ya Ligi Kuu bila Sisi utayaweza kweli?Hongera yanga wa point 1.. ni bora kuliko kukosa kabisa.
Ila nawakumbusha timu 4 zinashuka daraja.
Ila unajuaga kunibananisha Mtani japo ikija kwako unanikimbia.
Imecheza mechi ngapi kwani?Timu pekee kwenye ligi ya Tanzania ina point 1 maweeeeeh twafaaaah.
We nae kila ukiniona tu hadithi ni hizi hizi. πππshedaya mjukuu wangu nikiona hako katabasamu hapo kwa avatar mimi hoi
AsanteMmejitahidi sana kwa huu ushindi wenu. Hongereni sana.
Hatimaye kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi hii wenyewe mnakiri kwamba hamna kikosi cha ushindani kinachoweza kupambania hata na Biashara United achilia mbali kuisumbua SimbaYaani na si ajabu Coastal wakatusumbua vilevile.
Ifikie mahali ijulikane shida iko wapi ipate kutatuliwa kuliko kutuweka roho juu kila kukicha.
police tz sio watu wazur...We nae kila ukiniona tu hadithi ni hizi hizi. πππ
Tatizo la yanga mbona linajulikana kwenye nafsi za mashabiki wa yanga sema mnafumbiana tu macho kuficha matatizo.Yaani na si ajabu Coastal wakatusumbua vilevile.
Ifikie mahali ijulikane shida iko wapi ipate kutatuliwa kuliko kutuweka roho juu kila kukicha.
police tz sio watu wazur...
"daima sare au kufungwa ushindi mwiko"Kila la kheri timu ya wananchi.
"Daima mbele nyuma mwiko"