Ligi Kuu ya Vodacom (VPL): Yanga SC 3-3 Polisi Tanzania

Ligi Kuu ya Vodacom (VPL): Yanga SC 3-3 Polisi Tanzania

Bado miaka nane, kumbuka tageti yetu ni miaka 10 angalau ndio tutalegeza. Vikauli vya bingwa wa kihistoria tunataka chinjia huko...
MTUONEE huruma jamani ,loh , tuwe walau top 5 ya mwaka huu, maana ubingwa haiwezekani tena
 
Hongera yanga wa point 1.. ni bora kuliko kukosa kabisa.
Ila nawakumbusha timu 4 zinashuka daraja.
 
Yaani na si ajabu Coastal wakatusumbua vilevile.

Ifikie mahali ijulikane shida iko wapi ipate kutatuliwa kuliko kutuweka roho juu kila kukicha.
Hatimaye kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi hii wenyewe mnakiri kwamba hamna kikosi cha ushindani kinachoweza kupambania hata na Biashara United achilia mbali kuisumbua Simba

Jambo la kwanza mtimueni msemaji wa klabu yenu Pedejjee Papaa Zahera
 
 
Yaani na si ajabu Coastal wakatusumbua vilevile.

Ifikie mahali ijulikane shida iko wapi ipate kutatuliwa kuliko kutuweka roho juu kila kukicha.
Tatizo la yanga mbona linajulikana kwenye nafsi za mashabiki wa yanga sema mnafumbiana tu macho kuficha matatizo.
Kuanzia viongozi na kocha pale yanga ni tatizo...msimu uliopita mlikuwa na striker mzuri pale yule makambo sijui nani akaenda kumuuza.nauhakika yule yanga wangeongea nae vizuri wamuongeze maslahi angebaki yanga...kwenye usajili namsikia yule makamu mwenyekiti wenu ameitisha press alafu anamwambia gadiel kuwa anampa masaa ishirini na nne awe amesajili kuongeza mkataba,ushawahi ona wapi timu inasajili mchezani kwa mtindo huo...yaani mchezaji kama gadiel na kiwango alichonacho unataka umsajili kwa vitisho wakati kuna timu kubwa zinamtaka na ukizingatia yanga kwa kipindi hichi hawapo vizuri kiuchumi na anadai malimbikizo yake...mchezaji kama huyo ni anaitwa na mnaanza ku bargain naye then mkishindwana basi na sio kuanza kupeana masaa kwenye press...mkitaka ku solve tatizo hapo inatakiwa muambiane tu hadharani ukweli bila kufichana
 
Back
Top Bottom