Kanda Wakamkanda
Member
- May 3, 2015
- 36
- 6
Mi ni simba damu damu ila kwa leo naipenda sana yanga na naiombea ishinde ili na sisi tukomae mechi ya mwisho tuweze kuambulia japo nafasi ya pili...chonde chonde yanga tunaomba mtuhurumie japo mara moja tu, mabaya yote tuliyowatendea tumejifunza na tunawaahidi hayatajirudia tena.. mimi na wanachama wenzangu wa simba leo tutavaa jezi ya yanga na kwenda kuishangilia yanga ili washinde. Msituangushe tafadhali...
Too low...
Haya yanaitwa maneno ya mkosaji...
No wonder mnaitwa Mambumbumbu FC...Wenzako wanachoangalia ni ubingwa na kupata nafasi ya kushiriki michuano ya CAF....Real Madrid wakifungwa na Atletico Madrid sio ishu...Man Utd akipigwa na Man City sio ishu...Arsenal akipigwa na Spurs sio ishu...Yanga hata tufungwe ngapi na Simba sio ishu...Tunachoangalia ni ubingwa..Tunayachukulia matokeo ya Simba sawa na timu nyingine...Tunachoangalia ni ubingwa tu na kupata ticket ya CAF...
As for Mambumbumbu FC, nyie mnachoangalia ni kuifunga yanga tu....Mburulaz
Wenzake wanaokufahamu hiyo namba CC trilioni hawakugusi wanakupitia mbali kwasababu UNA KASORO usione labda wanakuogopa. Wewe waulize vizur watakwambia.Maneno yako yanaonesha kabisa umeanza kushabikia soka la Bongo mwaka huu yeboyebo iliponunua ubingwa wa 70 M kwa 928 M.
Hata wenzako waliokuwepo enzi zile za Utanu wa jadi kweli kweli japo ungeshuhudia zama za kina Mogela na Sembuli ungeona jinsi watu walivyokuwa wanaweka rehani mpaka Wake zao, Nyumba zao, gari zao VW Bitto na Landrover 109 zao.
Wewe shabiki wa enzi za Toyota IST yard kila mtaa utaujua wapi uchungu wa kuchukuliwa mke wako, nyumba yako, gari lako, shamba lako?
Unataka ubingwa wewe unapaya shilingi ngapi wakati mkeo, nyumba au gari limeondoka! Ndio maana wenzako wanaonifahamu vizuri hii namba CC trilioni hawaigusi wanapita mbali.
Wewe ni Mbumbumbu....Na utabaki kuwa shabiki wa Mbumbumbu FC...Leo umeonyesha unafiki..soka la Simba na yanga unalifananisha na Many, Madrid...huu Ni upumbavu Wa level ya juu sana...
Mi ni simba damu damu ila kwa leo naipenda sana yanga na naiombea ishinde ili na sisi tukomae mechi ya mwisho tuweze kuambulia japo nafasi ya pili...chonde chonde yanga tunaomba mtuhurumie japo mara moja tu, mabaya yote tuliyowatendea tumejifunza na tunawaahidi hayatajirudia tena.. mimi na wanachama wenzangu wa simba leo tutavaa jezi ya yanga na kwenda kuishangilia yanga ili washinde. Msituangushe tafadhali...
Mbumbumbu......Maneno yako yanaonesha kabisa umeanza kushabikia soka la Bongo mwaka huu yeboyebo iliponunua ubingwa wa 70 M kwa 928 M.
Hata wenzako waliokuwepo enzi zile za Utani wa jadi kweli kweli wanalijua hilo, wewe japo ungeshuhudia zama za kina Mogela na Sembuli ungeona jinsi watu walivyokuwa wanaweka rehani mpaka Wake zao, Nyumba zao, gari zao VW Bitto na Landrover 109 zao.
Wewe shabiki wa enzi za Toyota IST yard kila mtaa utaujua wapi uchungu wa kuchukuliwa mke wako, nyumba yako, gari lako, shamba lako?
Unataka ubingwa wewe unapata shilingi ngapi wakati mkeo, nyumba au gari limeondoka! Ndio maana wenzako wanaonifahamu vizuri hii namba CC trilioni hawaigusi wanapita mbali.
Ayaaaaaaaa!!!
YANGA WAMEUZA.......
Jamani mie azam imekata
Naona mteja wa mirembe umejitoa mhanga kunishambulia kwa matusi baada ya kushindwa kunjibu hoja za kisoka.Huyu jamaa inabidi apimwe akili. Yaani kwako wewe unaona ubora wa simba ni kumfunga yanga tuu na si kuchukua ubingwa au hata kufanya vizuri ktk ligi. Aliyewaita mambumbumbu aliona mbali sana.
Naomba kuuliza simba mara ya mwisho kushiriki mashindano ya kimataifa ilikuwa mwaka gani ?, ilicheza na timu gani pia iliishia raund ya ngapi ?. Usisahau na aggregate ya magoli