Ligi Kuu ya Vodacom: Yanga Afrika vs Azam, 6 Mei 2015

Ligi Kuu ya Vodacom: Yanga Afrika vs Azam, 6 Mei 2015

Mi ni simba damu damu ila kwa leo naipenda sana yanga na naiombea ishinde ili na sisi tukomae mechi ya mwisho tuweze kuambulia japo nafasi ya pili...chonde chonde yanga tunaomba mtuhurumie japo mara moja tu, mabaya yote tuliyowatendea tumejifunza na tunawaahidi hayatajirudia tena.. mimi na wanachama wenzangu wa simba leo tutavaa jezi ya yanga na kwenda kuishangilia yanga ili washinde. Msituangushe tafadhali...
 
Apia kama hamtatufunga tena!!! sema akyanani tufanye mambo yetu sasa hivi mpate nafasi ya pili
 
Too low...

Haya yanaitwa maneno ya mkosaji...

No wonder mnaitwa Mambumbumbu FC...Wenzako wanachoangalia ni ubingwa na kupata nafasi ya kushiriki michuano ya CAF....Real Madrid wakifungwa na Atletico Madrid sio ishu...Man Utd akipigwa na Man City sio ishu...Arsenal akipigwa na Spurs sio ishu...Yanga hata tufungwe ngapi na Simba sio ishu...Tunachoangalia ni ubingwa..Tunayachukulia matokeo ya Simba sawa na timu nyingine...Tunachoangalia ni ubingwa tu na kupata ticket ya CAF...

As for Mambumbumbu FC, nyie mnachoangalia ni kuifunga yanga tu....Mburulaz

Maneno yako yanaonesha kabisa umeanza kushabikia soka la Bongo mwaka huu yeboyebo iliponunua ubingwa wa 70 M kwa 928 M.

Hata wenzako waliokuwepo enzi zile za Utani wa jadi kweli kweli wanalijua hilo, wewe japo ungeshuhudia zama za kina Mogela na Sembuli ungeona jinsi watu walivyokuwa wanaweka rehani mpaka Wake zao, Nyumba zao, gari zao VW Bitto na Landrover 109 zao.

Wewe shabiki wa enzi za Toyota IST yard kila mtaa utaujua wapi uchungu wa kuchukuliwa mke wako, nyumba yako, gari lako, shamba lako?

Unataka ubingwa wewe unapata shilingi ngapi wakati mkeo, nyumba au gari limeondoka! Ndio maana wenzako wanaonifahamu vizuri hii namba CC trilioni hawaigusi wanapita mbali.
 
Maneno yako yanaonesha kabisa umeanza kushabikia soka la Bongo mwaka huu yeboyebo iliponunua ubingwa wa 70 M kwa 928 M.

Hata wenzako waliokuwepo enzi zile za Utanu wa jadi kweli kweli japo ungeshuhudia zama za kina Mogela na Sembuli ungeona jinsi watu walivyokuwa wanaweka rehani mpaka Wake zao, Nyumba zao, gari zao VW Bitto na Landrover 109 zao.

Wewe shabiki wa enzi za Toyota IST yard kila mtaa utaujua wapi uchungu wa kuchukuliwa mke wako, nyumba yako, gari lako, shamba lako?

Unataka ubingwa wewe unapaya shilingi ngapi wakati mkeo, nyumba au gari limeondoka! Ndio maana wenzako wanaonifahamu vizuri hii namba CC trilioni hawaigusi wanapita mbali.
Wenzake wanaokufahamu hiyo namba CC trilioni hawakugusi wanakupitia mbali kwasababu UNA KASORO usione labda wanakuogopa. Wewe waulize vizur watakwambia.
 
Leo umeonyesha unafiki..soka la Simba na yanga unalifananisha na Many, Madrid...huu Ni upumbavu Wa level ya juu sana...
Wewe ni Mbumbumbu....Na utabaki kuwa shabiki wa Mbumbumbu FC...

Pambano la Simba na Yanga ni derby kama ilivo Real Madrid na Atletico Madrid...Man Utd na Man City..AC Milan na Inter Milan..Gor Mahia na FC Leopards....N.k...

Sababu ya umbumbumbu wako umeshindwa kunielewa.....

MAMBUMBUMBU FC mna kazi kwelikweli....
 
Mi ni simba damu damu ila kwa leo naipenda sana yanga na naiombea ishinde ili na sisi tukomae mechi ya mwisho tuweze kuambulia japo nafasi ya pili...chonde chonde yanga tunaomba mtuhurumie japo mara moja tu, mabaya yote tuliyowatendea tumejifunza na tunawaahidi hayatajirudia tena.. mimi na wanachama wenzangu wa simba leo tutavaa jezi ya yanga na kwenda kuishangilia yanga ili washinde. Msituangushe tafadhali...

Mi Simba ila nataka yanga ishimde leo, kuiwakilisha nchi kupitia mgongo wa yanga sio sahihi. Pia tuwe wakweli, simba hii kimataifa bado sana! Itakuwa aibu kwa taifa maana itakuwa ni vichapo, huu ni ukweli japo wapo wataopinga, hivyo mimi kama simba nataka yanga washinde ili Azam waiwakilishe nchi, simba bado labda baada ya msimu unaokuja!
 
Maneno yako yanaonesha kabisa umeanza kushabikia soka la Bongo mwaka huu yeboyebo iliponunua ubingwa wa 70 M kwa 928 M.

Hata wenzako waliokuwepo enzi zile za Utani wa jadi kweli kweli wanalijua hilo, wewe japo ungeshuhudia zama za kina Mogela na Sembuli ungeona jinsi watu walivyokuwa wanaweka rehani mpaka Wake zao, Nyumba zao, gari zao VW Bitto na Landrover 109 zao.

Wewe shabiki wa enzi za Toyota IST yard kila mtaa utaujua wapi uchungu wa kuchukuliwa mke wako, nyumba yako, gari lako, shamba lako?

Unataka ubingwa wewe unapata shilingi ngapi wakati mkeo, nyumba au gari limeondoka! Ndio maana wenzako wanaonifahamu vizuri hii namba CC trilioni hawaigusi wanapita mbali.
Mbumbumbu......

Hauna tofauti na Hassan Dalali...

Mawazo mgando....Ninaufahamu mpira tofauti na unavodhani...Mpira wa enzi hizi za akina Simon Msuva si sawa na ule wa akina Abdallah Kibaden..Mohamed Kajole..Maulid Dilunga ama Gibson Sembuli...Mpira wa sasa wa akina Neymar Jr, Leo Messi na wengine wa zama zao sio sawa na ule wa enzi za akina Pele..Tostao..Garincha...Maradona na wengine...Mpira wa sasa ni wa kibiashara zaidi...Ngassa anavuna tofauti na ilivokuwa kwa Sembuli ama baba yake Khlafan Ngassa....Mpira wa zamani ulikuwa heshima...Wa sasa hv ni maslahi zaidi...Sasa hivi timu zina sponsors..Ligi ina sponsor...Wachezaji wana sponsors..Watu wanapiga hela sasa hivi....

Endelea tu na Umbumbumbu wako wa kushangilia "ubingwa" wa kuifunga Yanga.
 
Naomba kuuliza simba mara ya mwisho kushiriki mashindano ya kimataifa ilikuwa mwaka gani ?, ilicheza na timu gani pia iliishia raund ya ngapi ?. Usisahau na aggregate ya magoli
 
Aaaaarg..............hii mvua inazingua hata ladha ya mpira hakuna.
 
Huyu jamaa inabidi apimwe akili. Yaani kwako wewe unaona ubora wa simba ni kumfunga yanga tuu na si kuchukua ubingwa au hata kufanya vizuri ktk ligi. Aliyewaita mambumbumbu aliona mbali sana.
Naona mteja wa mirembe umejitoa mhanga kunishambulia kwa matusi baada ya kushindwa kunjibu hoja za kisoka.
Hata hivyo baba yenu Invisible huwa anawalinda na kuadhibu washabiki wa Simba pekee wakati kiukweli Yanga ndio mnaanza matusi siku zote.
 
Last edited by a moderator:
Naomba kuuliza simba mara ya mwisho kushiriki mashindano ya kimataifa ilikuwa mwaka gani ?, ilicheza na timu gani pia iliishia raund ya ngapi ?. Usisahau na aggregate ya magoli

attachment.php
 
Back
Top Bottom