Kanda Wakamkanda
Member
- May 3, 2015
- 36
- 6
Mi ni simba damu damu ila kwa leo naipenda sana yanga na naiombea ishinde ili na sisi tukomae mechi ya mwisho tuweze kuambulia japo nafasi ya pili...chonde chonde yanga tunaomba mtuhurumie japo mara moja tu, mabaya yote tuliyowatendea tumejifunza na tunawaahidi hayatajirudia tena.. mimi na wanachama wenzangu wa simba leo tutavaa jezi ya yanga na kwenda kuishangilia yanga ili washinde. Msituangushe tafadhali...