Sangomwile
JF-Expert Member
- Aug 17, 2012
- 3,211
- 1,059
Azam 2 - Yanga-1
Kuna mahali nimesoma comment ya Makoye Matale anasema tukitoka sare inabidi azam ashinde mechi yake ya mwisho dhidi ya JKT Ruvu (kama sikosei), vinginevyo mikia wanakuwa wa 2
Oyooooo, Lambalamba leo tumeamua kuwaachia na mmebebeka, safi sana mikia itaishia mabingwa wa mchangani tu.
Naona wachezaji wa mikia watakua disappointed sana msimu wa 3 mfululizo wanacheza makombe ya michangani!
Mechi imeisha??
Kuna mahali nimesoma comment ya Makoye Matale anasema tukitoka sare inabidi azam ashinde mechi yake ya mwisho dhidi ya JKT Ruvu (kama sikosei), vinginevyo mikia wanakuwa wa 2
Kamuulize wenger ana miaka mingapi arsernal inashiriki UEFA na wanaishia wapi? We jamaa CC Trilioni naona hauko sawa
Hata hii wanayocheza Yanga na Azam, ni mechi ya mchangani! Wote wawili walishatolewa kwenye mashindano ya kimataifa kwenye raundi ya awali (AZAM) na raundi ya kwanza (YANGA). Wanajipanga kila mwaka!Naona wachezaji wa mikia watakua disappointed sana msimu wa 3 mfululizo wanacheza makombe ya michangani!
Kwa namna hii. Simba wataanza kupoteza wachezaji wenye malengo. Ila kwa vile tunasajili kuifunga Yanga, basi watabaki.