Ligi Kuu ya Vodacom: Yanga Afrika vs Azam, 6 Mei 2015

Ligi Kuu ya Vodacom: Yanga Afrika vs Azam, 6 Mei 2015

Balantanda umebwabwaja out of topic, hukujibu hoja hata moja. Anyway sikushangai maana unaonesha dhahiri ulivyoanza kushabikia soka la bongo enzi za Mrisho ngassa na Msuva. Nimekusamehe.
 
Last edited by a moderator:
Oyooooo, Lambalamba leo tumeamua kuwaachia na mmebebeka, safi sana mikia itaishia mabingwa wa mchangani tu.
Naona wachezaji wa mikia watakua disappointed sana msimu wa 3 mfululizo wanacheza makombe ya michangani!
 
Mashabiki wa yanga na azam eti wameungana wanashangilia.
 
Kuna mahali nimesoma comment ya Makoye Matale anasema tukitoka sare inabidi azam ashinde mechi yake ya mwisho dhidi ya JKT Ruvu (kama sikosei), vinginevyo mikia wanakuwa wa 2

Hamna sare Leo azam ni ushindi tu hata inyeshe mvua ya mawe wapiiiiii yahoo
 
Last edited by a moderator:
Oyooooo, Lambalamba leo tumeamua kuwaachia na mmebebeka, safi sana mikia itaishia mabingwa wa mchangani tu.
Naona wachezaji wa mikia watakua disappointed sana msimu wa 3 mfululizo wanacheza makombe ya michangani!

Tulia wewe.
 
Kwa namna hii. Simba wataanza kupoteza wachezaji wenye malengo. Ila kwa vile tunasajili kuifunga Yanga, basi watabaki.
 
Hii mvua wale wa mabondeni hawatasalimika.
 
Kuna mahali nimesoma comment ya Makoye Matale anasema tukitoka sare inabidi azam ashinde mechi yake ya mwisho dhidi ya JKT Ruvu (kama sikosei), vinginevyo mikia wanakuwa wa 2

Lakini hadi sasa Lambalamba si wanaongoza?
Mambo sio mabaya kwao na kwetu pia maana furaha yetu itatimia Azam wakiwa wa 2.
 
Last edited by a moderator:
Kamuulize wenger ana miaka mingapi arsernal inashiriki UEFA na wanaishia wapi? We jamaa CC Trilioni naona hauko sawa

Naona akili kidoogo inaanza kurudi mahali pake, hebu rudi kwenye hoja acha matusi. Mapacha wetu watano wanaendeleaje, wameanza vidudu?
 
Naona wachezaji wa mikia watakua disappointed sana msimu wa 3 mfululizo wanacheza makombe ya michangani!
Hata hii wanayocheza Yanga na Azam, ni mechi ya mchangani! Wote wawili walishatolewa kwenye mashindano ya kimataifa kwenye raundi ya awali (AZAM) na raundi ya kwanza (YANGA). Wanajipanga kila mwaka!
 
Back
Top Bottom