Ligi Kuu ya Vodacom: Yanga Afrika vs Azam, 6 Mei 2015

Mie nmeminya hapa wasirudishe na huyu refa nahisi anataka kutugea penati cjui kaonana na Hans pope. Wapiiiiiiiiiii GENTAMYCINE

Huyo huwezi kumuona hapa nahisi huko aliko ana hali mbaya sana!
 
Last edited by a moderator:
Naona akili kidoogo inaanza kurudi mahali pake, hebu rudi kwenye hoja acha matusi. Mapacha wetu watano wanaendeleaje, wameanza vidudu?

Wameanza vidudu na baba yao kama kawaida ushirika umeshindwa kumpandisha ndege kaishia nafasi ya tatu
 
Oyooooo, Lambalamba leo tumeamua kuwaachia na mmebebeka, safi sana mikia itaishia mabingwa wa mchangani tu.
Naona wachezaji wa mikia watakua disappointed sana msimu wa 3 mfululizo wanacheza makombe ya michangani!

haki kina okwi wao watawakimbia sasa, manake hawaonekani kimataifa
 
Hata hii wanayocheza Yanga na Azam, ni mechi ya mchangani! Wote wawili walishatolewa kwenye mashindano ya kimataifa kwenye raundi ya awali (AZAM) na raundi ya kwanza (YANGA). Wanajipanga kila mwaka!

Hii ni mechi ya mchangani yenye bright future ya kucheza tena mashindano ya kimataifa.
Nyie mtabaki kuumiza kichwa mumfunge vipi Mbeya City na Yanga tu wenzenu tunawaza itakuwaje kama tukipanga na Al-Ahly tena.
Umeona tofauti ilivyo kubwa?
 
Safi sana walitaka kuleta urafiki wa mashaka hapa.siku tunacheza na waarabu walikuwa wanashaangilia leo wanatuombea dua nzuri kwa lipi?boti zipo waendelee ana mapinduzi cup.
 
Mvua imezuia mashabiki wa simba kutoka hivyo hawana budi kushuhudia Yanga wakikabidhiwa kombe lao. Uwanjani ni vituko wachezaji wa Yanga wamevaa jezi za Azam na Azam wamevaa jezi za Yanga. Hadi rahaaaaaaaa
 
Azam undugu na nyie umeisha leo...tunawarudisha kwa simba muendelee na undugu wenu kama mtu na dada yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…