Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mie nmeminya hapa wasirudishe na huyu refa nahisi anataka kutugea penati cjui kaonana na Hans pope. Wapiiiiiiiiiii GENTAMYCINE
Naona akili kidoogo inaanza kurudi mahali pake, hebu rudi kwenye hoja acha matusi. Mapacha wetu watano wanaendeleaje, wameanza vidudu?
Mashabiki wa yanga na azam eti wameungana wanashangilia.
hawataondoka watafanya mambo msimu ujao.
Oyooooo, Lambalamba leo tumeamua kuwaachia na mmebebeka, safi sana mikia itaishia mabingwa wa mchangani tu.
Naona wachezaji wa mikia watakua disappointed sana msimu wa 3 mfululizo wanacheza makombe ya michangani!
Hata hii wanayocheza Yanga na Azam, ni mechi ya mchangani! Wote wawili walishatolewa kwenye mashindano ya kimataifa kwenye raundi ya awali (AZAM) na raundi ya kwanza (YANGA). Wanajipanga kila mwaka!
Tulia wewe.
Kufungwa kubaya mkuu asikwambie mtu
haki kina okwi wao watawakimbia sasa, manake hawaonekani kimataifa