Raha saaaaana.Hii ndio raha ya kuwa mpenzi wa mabingwa wa kihistoria Young Africans.
Hujui kama chama cha njano na kijani kilichoshindwa kuleta maendeleo nchi hii kina uhusiano wa kindugu kabisa na timu dhaifu ya yeboyebo. Unategemea uwakilishi gani wenye tija kimataifa wakati kushinda kwenyewe mpaka wapange matokeo kama leo.
Nchi itafika fainali za CAF na kuchukua kombe iwapo tu TFF ya mshabiki mkubwa wa Yanga J. Malinzi itaacha kuibeba Yanga kupitia marefa.
Hayo mapicha unaniumiza macho tuu. Weka kwa maneno pia usijumlishe na mechi za mabonanza weka za ligi kuu peke yakeMdogo wangu Danny greeny nadhani unajua kusoma na kuandika utapata takwimu hapo. Ukitaka hata hii miaka minne mfululizo ya kutundikwa bao 5-0, 1-1, 3-3, 3-1, 2-0, 1-0 inapatikana hapo.
Takwimu nyingine tutaziongeza tukikutana tena.
Nauliza tu. Nani kachukua ubingwa mara nyingi zaidi Tanzania? Nani kamfunga mwenzake mara nyingi zaidi kati ya Yanga na mikia?
Yanga bingwa, SIMBA jipangeni.
Sie wana YANGA wenyewe wala hatuipendi AZAM. ILA UJINGA WENU WA KUFANYA COALITION ISI NA MAANA NA AZAM
Only in tanzania timu yako inafungwa halafu unashangilia
Kweli mkuu watu ni wehu,timu yao inafungwa wao wanashangilia
Itapendeza sana kama Azam atashinda hii gemu. Ili sherehe taifa inoge wote tupewe zawadi kwa wakati mmoja.
Mpira ni Furaha Mpira ni Upendo na Yanga ndio Mpira wenyewe.
Leo nipo kwa mkopo kwa Wapika Maandazi
hili mbona lilijulikana mapema tuu....maana zawadi za mshindi wa pili zililetwa uwanjani mapemaaaaaa..
Ile mechi ya leo kimaantiki haikuwa kati ya Yanga na Azam bali ni Simba na Azam. Sisi tulikuwa tunaishangilia Azam kwasababu ilikuwa haitufungi sisi inawafunga simba. Na kitu kingine ni haki yetu kushangilia timu tunayoipenda. Nyie mmesahau msimu uliopita mlipokuwa mnaishangilia Azam wakati anacheza na simba kisa Yanga ikose ubingwa?
Kweli mkuki kwa nguruwe. Anzeni kujishangaa nyinyi kwanza kwa mlichokifanya msimu uliopita then ndio mje mtushangae mabingwa wa VPL kwa msimu huu.