Ligi Kuu ya Vodacom: Yanga Afrika vs Azam, 6 Mei 2015

Ligi Kuu ya Vodacom: Yanga Afrika vs Azam, 6 Mei 2015

walinunua mechi ya stendi ili washinde wakaangukia pua wakahonga tff ili wachezeshe wachezaji wenye kadi Za njano lakini pia haikuwasaidia wamebaki kubwabwaja na kutokwa mapovu midomoni Huku wakiugulia nafsini mwao hao c wengine Bali ni mambumbumbu fc aka mikia fc(PAKASHUMI)
 
Raha saaaaana.Hii ndio raha ya kuwa mpenzi wa mabingwa wa kihistoria Young Africans.

Hivi wewe mrembo uko wapi muda huu? leo nitamreplace mdakuzi kwa muda tugonge champagne ya ubingwa. hii mikia ni wa hapahapa once again.
 
Hujui kama chama cha njano na kijani kilichoshindwa kuleta maendeleo nchi hii kina uhusiano wa kindugu kabisa na timu dhaifu ya yeboyebo. Unategemea uwakilishi gani wenye tija kimataifa wakati kushinda kwenyewe mpaka wapange matokeo kama leo.
Nchi itafika fainali za CAF na kuchukua kombe iwapo tu TFF ya mshabiki mkubwa wa Yanga J. Malinzi itaacha kuibeba Yanga kupitia marefa.

Uharo kila siku, bado hujawa dehydrated!
 
Mdogo wangu Danny greeny nadhani unajua kusoma na kuandika utapata takwimu hapo. Ukitaka hata hii miaka minne mfululizo ya kutundikwa bao 5-0, 1-1, 3-3, 3-1, 2-0, 1-0 inapatikana hapo.
Takwimu nyingine tutaziongeza tukikutana tena.
Hayo mapicha unaniumiza macho tuu. Weka kwa maneno pia usijumlishe na mechi za mabonanza weka za ligi kuu peke yake
 
Last edited by a moderator:
Hivi wewe mrembo uko wapi muda huu? leo nitamreplace mdakuzi kwa muda tugonge champagne ya ubingwa. hii mikia ni wa hapahapa once again.

Hahahahaaaa...
Cheers Matola!
 
Last edited by a moderator:
Nauliza tu. Nani kachukua ubingwa mara nyingi zaidi Tanzania? Nani kamfunga mwenzake mara nyingi zaidi kati ya Yanga na mikia?

Hakuna zaidi ya mabingwa wa kihistoria Young Africans.
 
Yanga bingwa, SIMBA jipangeni.

Sie wana YANGA wenyewe wala hatuipendi AZAM. ILA UJINGA WENU WA KUFANYA COALITION ISI NA MAANA NA AZAM

Kwa mara ya kwanza leo umeongea kitu nikafurahi.
Daima mbele......
 
yanga.jpg
 
Kweli mkuu watu ni wehu,timu yao inafungwa wao wanashangilia

Ile mechi ya leo kimaantiki haikuwa kati ya Yanga na Azam bali ni Simba na Azam. Sisi tulikuwa tunaishangilia Azam kwasababu ilikuwa haitufungi sisi inawafunga simba. Na kitu kingine ni haki yetu kushangilia timu tunayoipenda. Nyie mmesahau msimu uliopita mlipokuwa mnaishangilia Azam wakati anacheza na simba kisa Yanga ikose ubingwa?

Kweli mkuki kwa nguruwe. Anzeni kujishangaa nyinyi kwanza kwa mlichokifanya msimu uliopita then ndio mje mtushangae mabingwa wa VPL kwa msimu huu.
 
Itapendeza sana kama Azam atashinda hii gemu. Ili sherehe taifa inoge wote tupewe zawadi kwa wakati mmoja.

Mpira ni Furaha Mpira ni Upendo na Yanga ndio Mpira wenyewe.

Leo nipo kwa mkopo kwa Wapika Maandazi

hili mbona lilijulikana mapema tuu....maana zawadi za mshindi wa pili zililetwa uwanjani mapemaaaaaa..
 
hili mbona lilijulikana mapema tuu....maana zawadi za mshindi wa pili zililetwa uwanjani mapemaaaaaa..

Kawaida hiyo hata TFF wanajua mpira Tanzania ni Yanga na Azam hayo mengine makapi tuu. Hata mtoto mdogo ukimwambia kama yanga kachukua ubingwa atajua tuu kuwa anayefuatia ni Azam.

Acheni kujipa matumaini wakati uwezo hamna.
 
Ile mechi ya leo kimaantiki haikuwa kati ya Yanga na Azam bali ni Simba na Azam. Sisi tulikuwa tunaishangilia Azam kwasababu ilikuwa haitufungi sisi inawafunga simba. Na kitu kingine ni haki yetu kushangilia timu tunayoipenda. Nyie mmesahau msimu uliopita mlipokuwa mnaishangilia Azam wakati anacheza na simba kisa Yanga ikose ubingwa?

Kweli mkuki kwa nguruwe. Anzeni kujishangaa nyinyi kwanza kwa mlichokifanya msimu uliopita then ndio mje mtushangae mabingwa wa VPL kwa msimu huu.

kwenye mechi kama hii msimu upiopita simba ilifungwa goli 2-1 na azam kwa makusudi kabisa ili yanga asibebe ubingwa na leo tukaona isiwe tabu, tukafungwa goli hizohizo 2-1 ili kuwakumbusha walichokifanya mwaka jana.
 
Back
Top Bottom