Ligi Kuu ya Vodacom: Yanga Afrika vs Azam, 6 Mei 2015

Yanga leo wanafungwa na Si kwa kuwa wanauza mechi kiukweli yanga si team nzuri kias hicho. tunafaham imekuwa mara kadhaa ikinunua mechi but huwez nunu mech kwa azam. utawalipa nini matajiri wa dsm?
 
Kikosi cha Yanga kinachoanza leo dhidi ya Azam fc;
1.Deogratius Munishi "Dida"
2.Juma Abdul
3.Oscar Joshua
4.Pato Ngonyani
5.Rajabu Zahir
6.Salumu Telela
7.Danny Mrwanda
8.Nizar Halfan
9.Amiss Tambwe
10.Mrisho Ngassa
11.Andrey Coutinho

SUBSTITUTIONS-
Ally Mustapha
Kelvin Yondan
Hussein Javu
Said Juma Makapu
Jerryson Tegete
Haruna Niyonzima
Edward Charles

Kocha mkuu
Hans van der Pluijm

Kocha msaidizi
Charles Boniface Mkwasa

Meneja wa timu
Afidh Saleh.

Kila la kheir yanga afrika.

YANGA DAIMA MBELE NYUMA MWIKO.
 
Timu yetu ya Dar Young Africans wamechoka sana na safari naamini uchovu utatukosesha ushindi.
Acha tufungwe maana hakuna njia nyingine ila itaniuma sana.
 

Tegete, edward charles, makapu na hussein javu ndio ilikuwa mechi yao hii.
 
Azam FC XI Vs Yanga; Mwadini, Himid, Gadiel, Kapombe, Aggrey, Mudathir, Braison, Domayo, Mwaikimba, Tchetche, Majwega
Young Africans S.C. XI Vs Azam FC; Deogratius, Juma, Oscar, Zahir, Pato, Telela, Mrwanda, Nizar, Tambwe, Ngasa, Coutinho
 
Msuva ametorokea Sauzi leo alfajiri eti amepata timu, hivyo msione hiyo listi mkadhani amepumzishwa. Hasha!! Akili ya wachezaji wetu wanaijua wenyewe. Bado kana mkataba na Yanga, sijui watakasaidia kulipa?
 
Ni aibu kuuza mechi ,yanga wakipanga kikosi cha pili kisa simba
 
Timu yetu ya Dar Young Africans wamechoka sana na safari naamini uchovu utatukosesha ushindii.
Acha tufungwe maana hakuna njia nyingine ila itaniuma sana.
Ata mimi nilitaka kusema hivyo hivyo....
 
Nasikia msuva yuko s.africa kufanya majaribio!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…