Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kikosi cha Yanga kinachoanza leo dhidi ya Azam fc;
1.Deogratius Munishi "Dida"
2.Juma Abdul
3.Oscar Joshua
4.Pato Ngonyani
5.Rajabu Zahir
6.Salumu Telela
7.Danny Mrwanda
8.Nizar Halfan
9.Amiss Tambwe
10.Mrisho Ngassa
11.Andrey Coutinho
SUBSTITUTIONS-
Ally Mustapha
Kelvin Yondan
Hussein Javu
Said Juma Makapu
Jerryson Tegete
Haruna Niyonzima
Edward Charles
Kocha mkuu
Hans van der Pluijm
Kocha msaidizi
Charles Boniface Mkwasa
Meneja wa timu
Afidh Saleh.
Kila la kheir yanga afrika.
YANGA DAIMA MBELE NYUMA MWIKO.
Kwa nini mida hiyo??
Ni aibu kuuza mechi ,yanga wakipanga kikosi cha pili kisa simba
Ata mimi nilitaka kusema hivyo hivyo....Timu yetu ya Dar Young Africans wamechoka sana na safari naamini uchovu utatukosesha ushindii.
Acha tufungwe maana hakuna njia nyingine ila itaniuma sana.
Leo tunawabeba nanyi mikia mtatushangilia.
hata wapange kikosi gani Leo yebo yebo watapigwa tu
sasa ngasa kapewa hiyo award kwa kazi gani?