Ligi Kuu ya Vodacom: Yanga Afrika vs Azam, 6 Mei 2015

Baadaye tutawaomba wataalamu humu watupangie msimamo wa ligi kwa mechi walizocheza wenyewe kwa wenyewe Yanga, Azam na Simba
(ila hapa najiandaa kuporomoshewa matusi)
 
Huu uwanja bado haujatulia kabisa
 
Azam FC XI Vs Yanga; Mwadini, Himid, Gadiel, Kapombe, Aggrey, Mudathir, Braison, Domayo, Mwaikimba, Tchetche, Majwega
Young Africans S.C. XI Vs Azam FC; Deogratius, Juma, Oscar, Zahir, Pato, Telela, Mrwanda, Nizar, Tambwe, Ngasa, Coutinho

No kavumbagu No Msuva!!! ! First dot.
 
Naona mashabiki wa azam na yanga wamekaa jukwaa moja
 

Kulea watoto si hoja hoja nani kazaa. Watoto wetu sasa hivi bado wadogo mapacha watano waliozaliwa 2012 may, watatu 2013, wawili 2014 na huyu mmoja aliyezaliwa mwaka huu March anahitaji uangalizi wa hali ya juu wa baba.
 
Dakika ya 12 Andrey Coutinho anaiandikia yanga goli la kwanza.........kudadadeki wamesawazisha.
 
Baadaye tutawaomba wataalamu humu watupangie msimamo wa ligi kwa mechi walizocheza wenyewe kwa wenyewe Yanga, Azam na Simba
(ila hapa najiandaa kuporomoshewa matusi)
Hakuna wa kukugusa mbona wananifahamu hawakawii kushtaki.
 
Huyu "kotinyo" anatatuvurugia mipango yetu,bora atoke tuu!!!
Azam pigaaaaaaaa!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…