Ligi Kuu ya Vodacom: Yanga Afrika vs Azam, 6 Mei 2015

Ligi Kuu ya Vodacom: Yanga Afrika vs Azam, 6 Mei 2015

Mateja ya Simba yamekutana yote machovu tu, ni funga nikufunge tu.
Mbona Mnyama akiyatungua hayana uwezo wa kusawazisha.

Hapa kuna teja mmoja anajaribu kumkimbia Mnyama kwenye mechi ya ufunguzi wa ligi maana anajua kitakachomkuta.
 
Mateja ya Simba yamekutana yoye machovu, funga nikufunge tu.
Mbona Mnyama akiyatungua hayana uwezo wa kusawazisha.

Hapa kuna teja mmoja anajaribu kumkimbia Mnyama kwenye mechi ya ufunguzi wa ligi maana anajua kitakachomkuta.

aiseeeeee, nilikuwa sijashitukia hii siri ya yanga kujitutumua kumbe anajua mnyama akiwa Wa pili Ngao ya Hisani tunaye na kwenye ligi tunaye...
 
Baadaye tutawaomba wataalamu humu watupangie msimamo wa ligi kwa mechi walizocheza wenyewe kwa wenyewe Yanga, Azam na Simba
(ila hapa najiandaa kuporomoshewa matusi)

Teh teh teh unatafuta ubingwa kwa namna yeyote ile ili kuuridhisha moyo wako,mkeo atakupangia vizuri maana hiyo ligi mnaitambua we na mkeo
 
Back
Top Bottom