Makoye Matale
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 6,491
- 2,104
Matokeo ngapi ngapi wakuu
shangilia na letu
yanga1-1azammatokeo ngapi ngapi wakuu
hivi hawa Azam wanahitaji ushindi au hata sare inawatosha?1-1 mkuu.
hahahaah,,,,,,,,,lile halina mvuto kama la yanga
Mateja ya Simba yamekutana yoye machovu, funga nikufunge tu.
Mbona Mnyama akiyatungua hayana uwezo wa kusawazisha.
Hapa kuna teja mmoja anajaribu kumkimbia Mnyama kwenye mechi ya ufunguzi wa ligi maana anajua kitakachomkuta.
hivi hawa azam wanahitaji ushindi au hata sare inawatosha?
hivi hawa Azam wanahitaji ushindi au hata sare inawatosha?
Dakika ya 12 Andrey Coutinho anaiandikia yanga goli la kwanza.........kudadadeki wamesawazisha.
hivi hawa Azam wanahitaji ushindi au hata sare inawatosha?
Hakuna wa kukugusa mbona wananifahamu hawakawii kushtaki.
Wanahitaji ushindi katika mojawapo ya mechi mbili walizobakiwa nazo. Sare mbili haziwatoshihivi hawa Azam wanahitaji ushindi au hata sare inawatosha?
hivi hawa Azam wanahitaji ushindi au hata sare inawatosha?
Unawapaga live mkuu,safi sana. Najivunia kuwa shabiki wa Simba toka enzi za Moses Mkandawire
Baadaye tutawaomba wataalamu humu watupangie msimamo wa ligi kwa mechi walizocheza wenyewe kwa wenyewe Yanga, Azam na Simba
(ila hapa najiandaa kuporomoshewa matusi)
hii inaitwa shikisha adabu!hadi mtani anawashangilia yanga!!