Ligi Kuu ya Vodacom: Yanga Afrika vs Azam, 6 Mei 2015

Ligi Kuu ya Vodacom: Yanga Afrika vs Azam, 6 Mei 2015

CEYLON

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2012
Posts
305
Reaction score
141
Lina ukweli wowote hili?
Wakati tunaelekea katika game za mwisho-mwisho za kumaliza msimu wa ligi kuu Tanzania Bara (Vodacom premier league).
Leo tena katika uwanja wa taifa kutakuwa na mpambano wa kuamua nani mwakani ashiriki mashindano ya CAF na nani abaki nyumbani alee watoto.
Yanga sc wataikaribisha timu ya azam fc, azam wanahitaji point 3 muhimu leo ili wajihakikishie nafasi ya mwakani kushiriki katika kombe la shirikisho baran Afrika.

Yanga wao hawana presure sana na game hii kwani tayar wameshatangazwa kama mabingwa wapya wa msimu wa 2014/2015.

Game itaanza saa 11:00 jioni kwa saa za afrika mashariki.

Live updates zitaletwa hapa hapa JF-Sports.

====================
====================

Matokeo ya Mwisho: Azam 2 -1 Yanga
 
saa 11:00 jiini kwa saa za Afrika mashariki.
 
kama upo uwanjani tuwasiliane tutengeneze jukwaa la jf tu
 
Wakati tunaelekea katika game za mwisho-mwisho za kumaliza msimu wa ligi kuu Tanzania Bara (Vodacom premier league).
Leo tena katika uwanja wa taifa kutakuwa na mpambano wa kuamua nani mwakani ashiriki mashindano ya CAF na nani abaki nyumbani alee watoto.
Yanga sc wataikaribisha timu ya azam fc, azam wanahitaji point 3 muhimu leo ili wajihakikishie nafasi ya mwakani kushiriki katika kombe la shirikisho baran Afrika.
Yanga wao hawana presure sana na game hii kwani tayar wameshatangazwa kama mabingwa wapya wa msimu wa 2014/2015.

Game itaanza saa 11:00 jioni kwa saa za afrika mashariki.

Live updates zitaletwa hapa hapa jf-sports.
 
Yanga naomba tukubali tufungwe na azamu hawa wapuuzi waishie kupanda mabasi tu.
 
hahahahahahahahahahaha hahahahahahahaha hahahahahahahaha LEO YANGA TUNASHANGILIA AZAM NA MIKIA ITASHANGILIA YANGA KWA LAZIMA!!!
 
Yanga wapeni nafasi vijana ambao hawajacheza mechi nyingi leo. Tegete, Nizar, leo iwe ndio mpango mzima. Azam ashinde goli moja sio mbaya sana.

Bora tufungwe mechi hii kuliko mikia kupanda ndege mwakani.
 
dah!leo raha sana mtani anakushangilia!!!
 
hahahahahahahahahahaha hahahahahahahaha hahahahahahahaha LEO YANGA TUNASHANGILIA AZAM NA MIKIA ITASHANGILIA YANGA KWA LAZIMA!!!

mashabiki wa damu leo tunawashangilia Azam.... Simba tutapanda Boti ya kwenda Zanzibar tu..
 
Leo game hii tunacheza kufrahisha mashabiki tu.
 
Itapendeza sana kama Azam atashinda hii gemu. Ili sherehe taifa inoge wote tupewe zawadi kwa wakati mmoja.

Mpira ni Furaha Mpira ni Upendo na Yanga ndio Mpira wenyewe.

Leo nipo kwa mkopo kwa Wapika Maandazi
 
Back
Top Bottom