CEYLON
JF-Expert Member
- Dec 3, 2012
- 305
- 141
Lina ukweli wowote hili?
====================
====================
Matokeo ya Mwisho: Azam 2 -1 Yanga
Wakati tunaelekea katika game za mwisho-mwisho za kumaliza msimu wa ligi kuu Tanzania Bara (Vodacom premier league).
Leo tena katika uwanja wa taifa kutakuwa na mpambano wa kuamua nani mwakani ashiriki mashindano ya CAF na nani abaki nyumbani alee watoto.
Yanga sc wataikaribisha timu ya azam fc, azam wanahitaji point 3 muhimu leo ili wajihakikishie nafasi ya mwakani kushiriki katika kombe la shirikisho baran Afrika.
Yanga wao hawana presure sana na game hii kwani tayar wameshatangazwa kama mabingwa wapya wa msimu wa 2014/2015.
Game itaanza saa 11:00 jioni kwa saa za afrika mashariki.
Live updates zitaletwa hapa hapa JF-Sports.
====================
====================
Matokeo ya Mwisho: Azam 2 -1 Yanga