Ligi Kuu ya Vodacom: Yanga Afrika vs Azam, 6 Mei 2015

Ligi Kuu ya Vodacom: Yanga Afrika vs Azam, 6 Mei 2015

Mnatuogopa endapo tutakuwa wa pili katika ligi tutakutana kwenye ngao ya hisani.

Kama kawaida yenu wazee wa bonanza sema safari hii mmewahi sana kuwaza hayo mabonanza yenu sisi tunaumiza kichwa namna ya kumkabili tp mazembe
 
Masikini Stand United!!!

Mkuu mpaka sasahivi mwenye uhakika wa kushuka daraja ni polisi morogoro peke yake. Huyo stand ana point 28 sawa na mgambo, ndanda pamoja na prisons. Pia usimsahau ruvu shooting ana point 29 kati ya hao wote gemu za mwisho ndio zitaamua wawili wa kushuka.
 
Wanafahamu maafa yanayowasubiri wakikutana na Mnyama kiboko ya wanyama na vidudu vyote Jijini.
Too low...

Haya yanaitwa maneno ya mkosaji...

No wonder mnaitwa Mambumbumbu FC...Wenzako wanachoangalia ni ubingwa na kupata nafasi ya kushiriki michuano ya CAF....Real Madrid wakifungwa na Atletico Madrid sio ishu...Man Utd akipigwa na Man City sio ishu...Arsenal akipigwa na Spurs sio ishu...Yanga hata tufungwe ngapi na Simba sio ishu...Tunachoangalia ni ubingwa..Tunayachukulia matokeo ya Simba sawa na timu nyingine...Tunachoangalia ni ubingwa tu na kupata ticket ya CAF...

As for Mambumbumbu FC, nyie mnachoangalia ni kuifunga yanga tu....Mburulaz
 
Mkuu mpaka sasahivi mwenye uhakika wa kushuka daraja ni polisi morogoro peke yake. Huyo stand ana point 28 sawa na mgambo, ndanda pamoja na prisons. Pia usimsahau ruvu shooting ana point 29 kati ya hao wote gemu za mwisho ndio zitaamua wawili wa kushuka.

kweli lakini du...sijui mechi ya mwisho itakuwa kati ya Stand na nani!!
 
AZAM PIGA HAO YANGA AKA WAZEE WA TUNISIA........(moyoni....YANGA PIGA AZAM TUPATE KAJINASI KAKUPANDA NDEGE MWAKANI)
 
Kipi cha ziada walichonacho hao ambacho kwa miaka minne mfulizo waliyochapwa hawakuwa nacho.

Huyu jamaa inabidi apimwe akili. Yaani kwako wewe unaona ubora wa simba ni kumfunga yanga tuu na si kuchukua ubingwa au hata kufanya vizuri ktk ligi. Aliyewaita mambumbumbu aliona mbali sana.
 
una maneno utazania Bi Mwanahawa Ally(kinyago cha mpapure) wa East African Mellody

Mwanaume anatolea mifano ya wanaume wenzake, ukiona mwanaume anataja taja sana wamama wa taarabu kuwa na mashaka naye. Ndiyo walewale wa Traventine wanaume vidole juu.

Mwanaume anataja ma-hard core wazee wa kuchana mistari sio wabana pua.
 
Back
Top Bottom