Makoye Matale
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 6,491
- 2,104
issue ni mnaogopa kukutana na mnyama...
Jibu swali langu, acha kujibu kwa hisia zako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
issue ni mnaogopa kukutana na mnyama...
Naona jiwe la kwanza limepiga penyewe!
hahahaah,,,,,,,hata tukikutana na ninyi mkiwa wazuri vipi lazima mpigwe tu.
Mnatuogopa endapo tutakuwa wa pili katika ligi tutakutana kwenye ngao ya hisani.
Masikini Stand United!!!
hahahaah,,,,,,,hata tukikutana na ninyi mkiwa wazuri vipi lazima mpigwe tu.
Dadangu leo umemfuata Steve Yanga kule Azam alikoenda
Too low...Wanafahamu maafa yanayowasubiri wakikutana na Mnyama kiboko ya wanyama na vidudu vyote Jijini.
Mkuu mpaka sasahivi mwenye uhakika wa kushuka daraja ni polisi morogoro peke yake. Huyo stand ana point 28 sawa na mgambo, ndanda pamoja na prisons. Pia usimsahau ruvu shooting ana point 29 kati ya hao wote gemu za mwisho ndio zitaamua wawili wa kushuka.
Kipi cha ziada walichonacho hao ambacho kwa miaka minne mfulizo waliyochapwa hawakuwa nacho.
Masikini Stand United!!!
una maneno utazania Bi Mwanahawa Ally(kinyago cha mpapure) wa East African Mellody
Uzandiki ndo nini na unafiki ni kitu gani!Huu uzi leo umejaa uzandiki na unafiki!!!!
Dadangu leo umemfuata Steve Yanga kule Azam alikoenda
picha plz.......