Ligi Kuu ya Vodacom: Yanga Afrika vs Azam, 6 Mei 2015

Ligi Kuu ya Vodacom: Yanga Afrika vs Azam, 6 Mei 2015

Too low...

Haya yanaitwa maneno ya mkosaji...

No wonder mnaitwa Mambumbumbu FC...Wenzako wanachoangalia ni ubingwa na kupata nafasi ya kushiriki michuano ya CAF....Real Madrid wakifungwa na Atletico Madrid sio ishu...Man Utd akipigwa na Man City sio ishu...Arsenal akipigwa na Spurs sio ishu...Yanga hata tufungwe ngapi na Simba sio ishu...Tunachoangalia ni ubingwa..Tunayachukulia matokeo ya Simba sawa na timu nyingine...Tunachoangalia ni ubingwa tu na kupata ticket ya CAF...

As for Mambumbumbu FC, nyie mnachoangalia ni kuifunga yanga tu....Mburulaz

Huyo ana RB katoroka Mirembe, anatafutwa!
 
Nyie hamjambo wote humu ?, kinondoni kuna mvua ya kufa mtu, vp temeke huko usalama upo ?
 
kweli lakini du...sijui mechi ya mwisho itakuwa kati ya Stand na nani!!

1. Kagera sugar vs Tanzania prisons
2. JKT Ruvu vs Mambumbumbu FC
3. Mbeya City vs Polisi Morogoro
4. Azam FC vs Mgambo JKT
5. Stand United vs Ruvu shootings
6. Ndanda FC vs VPL Champions YANGA
7. Mtibwa Sugar vs Coastal Union
 
Ishu ni kupanda ndege tu au walau kufika robo fainali ya mashindano ya CAF?
 
1. Kagera sugar vs Tanzania prisons
2. JKT Ruvu vs Mambumbumbu FC
3. Mbeya City vs Polisi Morogoro
4. Azam FC vs Mgambo JKT
5. Stand United vs Ruvu shootings
6. Ndanda FC vs VPL Champions YANGA
7. Mtibwa Sugar vs Coastal Union
hapa piga ua lazima Stand apige mtu hata kama ni kwa fitna!
 
Hivi kwanini hizi klabu hazijiendeshi kibiashara.maana leo zinauzwa jezi za yanga bingwa 20014-15 na watu wamenunua kama njugu
 
Hakuna updates humu zaidi ya majigambo tu, kwa mara ya mwisho nauliza ngapi ngapi ?
 
Back
Top Bottom