Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 8,900
- 28,398
Dadangu leo umemfuata Steve Yanga kule Azam alikoenda
Leo Azam kwa raha zangu, hakuna mkia kupanda ndege.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dadangu leo umemfuata Steve Yanga kule Azam alikoenda
Too low...
Haya yanaitwa maneno ya mkosaji...
No wonder mnaitwa Mambumbumbu FC...Wenzako wanachoangalia ni ubingwa na kupata nafasi ya kushiriki michuano ya CAF....Real Madrid wakifungwa na Atletico Madrid sio ishu...Man Utd akipigwa na Man City sio ishu...Arsenal akipigwa na Spurs sio ishu...Yanga hata tufungwe ngapi na Simba sio ishu...Tunachoangalia ni ubingwa..Tunayachukulia matokeo ya Simba sawa na timu nyingine...Tunachoangalia ni ubingwa tu na kupata ticket ya CAF...
As for Mambumbumbu FC, nyie mnachoangalia ni kuifunga yanga tu....Mburulaz
Chama La Wana linamsubiri Ruvu Shooting pale Kambarage, mambo yote yatakaa sawa.
AZAM PIGA HAO YANGA AKA WAZEE WA TUNISIA........(moyoni....YANGA PIGA AZAM TUPATE KAJINASI KAKUPANDA NDEGE MWAKANI)
mpira hauna mvuto na mvua imezidi
issue ni mnaogopa kukutana na mnyama...
kweli lakini du...sijui mechi ya mwisho itakuwa kati ya Stand na nani!!
hivi function ya like haipo au ni kwangu tu!!
Leo Azam kwa raha zangu, hakuna mkia kupanda ndege.
hapa piga ua lazima Stand apige mtu hata kama ni kwa fitna!1. Kagera sugar vs Tanzania prisons
2. JKT Ruvu vs Mambumbumbu FC
3. Mbeya City vs Polisi Morogoro
4. Azam FC vs Mgambo JKT
5. Stand United vs Ruvu shootings
6. Ndanda FC vs VPL Champions YANGA
7. Mtibwa Sugar vs Coastal Union
Bora wewe umeamua kufunguka mkuu