Ligi Kuu ya Vodacom: Yanga Afrika vs Azam, 6 Mei 2015

1.jpg
 
Ndio unaibuka toka kwenye mafuriko jangwani umeshavua kambale wangapi? Kopo litahifadhiwa wapi na Slum imejaa maji.
Hivi kile kiwanja mlipewa bure na kwanini mlikubali?

Hapana mtani wangu! Nilikuwa na furaha ilioje humu vyumbani... niko nilikuwa na wachezaje tukishangilia tunu ya UBINGWA....!

vipi nipe taarifa... maji hayaja ingia sebuleni mwako....!?

Nasikia inanyesha kweli.
 
Hujui kama chama cha njano na kijani kilichoshindwa kuleta maendeleo nchi hii kina uhusiano wa kindugu kabisa na timu dhaifu ya yeboyebo. Unategemea uwakilishi gani wenye tija kimataifa wakati kushinda kwenyewe mpaka wapange matokeo kama leo.
Nchi itafika fainali za CAF na kuchukua kombe iwapo tu TFF ya mshabiki mkubwa wa Yanga J. Malinzi itaacha kuibeba Yanga kupitia marefa.

Hicho chama chenu cha CUF kimeleta Maendeleo gani..!

Nasikia kule Unguja ndio kipo juu kwenye kutetea Ushirikina.

Na ndio maana Leo maalim Seif alikuwa jukwaani akiwa kimya akijua kwamba Yanga Fc wametia mchanga kwenye pilau.
 
hakika mkuu
 
Only in tanzania timu yako inafungwa halafu unashangilia

Ni hili tu linalo kushangaza Bulldog...?

Mbona ujatupa mjadara jinsi Mashabiki wa Simba walivyo shabikia Etoile du sahel pale Taifa....?
 
Last edited by a moderator:
Hicho chama chenu cha CUF kimeleta Maendeleo gani..!

Nasikia kule Unguja ndio kipo juu kwenye kutetea Ushirikina.

Na ndio maana Leo maalim Seif alikuwa jukwaani akiwa kimya akijua kwamba Yanga Fc wametia mchanga kwenye pilau.

Simba haina uhusiano na chama chochote cha siasa tofauti na Yanga iliyofanya ikulu na Bunge kama kijiwe cha kuongelea mambo ya Yanga.

Nadhani hapo umenielewa.
 
Ni hili tu linalo kushangaza Bulldog...?

Mbona ujatupa mjadara jinsi Mashabiki wa Simba walivyo shabikia Etoile du sahel pale Taifa....?

Unakumbuka nani muasisi wa huo utoto?
 
Last edited by a moderator:
Mie nmeminya hapa wasirudishe na huyu refa nahisi anataka kutugea penati cjui kaonana na Hans pope. Wapiiiiiiiiiii GENTAMYCINE

Naona Wake Zetu Leo Mlikuwa Mnacheza Ili Kugombania Nani Wa Kuja Kulala Na Mnyama Simba Na Bahati Nzuri Leo Nalala Na Azam Wewe Yanga Ulie Tu!
 
Tena wametifuana kweli kweli kugombea muhogo wa jang'ombe.
Ila mke mkubwa amechoka ligwaride amesema mtoto bado mdogo alijua akija leo na kwenye ufunguzi wa ligi baadae mwaka huu tutakutana nae hivyo kachomoa.
 
Naona Wake Zetu Leo Mlikuwa Mnacheza Ili Kugombania Nani Wa Kuja Kulala Na Mnyama Simba Na Bahati Nzuri Leo Nalala Na Azam Wewe Yanga Ulie Tu!
aaaaaaaaaaaaaahhh nalia jamani jamani hawa yanga mungu atawalani mtafungwa kwenye fainali ya dunia pale japan mwaka ujaaoooo ndio dua zangu kwa kumkatisha simba safari yake ya pale angola kukutanana na liboolooo waaaahhh wahhh nalia kweli kweli ahhhhh.

Naona Una Hamu Na Libolo FC. Kama Vipi Njoo Ili Okwi Akupe Libolo FC Jingine Kisha MKASEREBUKE Nalo Na Akina " Jenny Murro " Na Mzee " Akili Lakini Hana Mali ".
 
Back
Top Bottom