Danny greeny
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 3,856
- 1,648
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio unaibuka toka kwenye mafuriko jangwani umeshavua kambale wangapi? Kopo litahifadhiwa wapi na Slum imejaa maji.
Hivi kile kiwanja mlipewa bure na kwanini mlikubali?
Hongereni YANGA kuwa mabingwa wapya....
Hujui kama chama cha njano na kijani kilichoshindwa kuleta maendeleo nchi hii kina uhusiano wa kindugu kabisa na timu dhaifu ya yeboyebo. Unategemea uwakilishi gani wenye tija kimataifa wakati kushinda kwenyewe mpaka wapange matokeo kama leo.
Nchi itafika fainali za CAF na kuchukua kombe iwapo tu TFF ya mshabiki mkubwa wa Yanga J. Malinzi itaacha kuibeba Yanga kupitia marefa.

Haliwezi kuendelea kwa Azam kuifunga Yanga lakini litaendelea kwa Simba kuwashabikia waarabu.
Hicho chama chenu cha CUF kimeleta Maendeleo gani..!
Nasikia kule Unguja ndio kipo juu kwenye kutetea Ushirikina.
Na ndio maana Leo maalim Seif alikuwa jukwaani akiwa kimya akijua kwamba Yanga Fc wametia mchanga kwenye pilau.
Mie nmeminya hapa wasirudishe na huyu refa nahisi anataka kutugea penati cjui kaonana na Hans pope. Wapiiiiiiiiiii GENTAMYCINE
Naona Wake Zetu Leo Mlikuwa Mnacheza Ili Kugombania Nani Wa Kuja Kulala Na Mnyama Simba Na Bahati Nzuri Leo Nalala Na Azam Wewe Yanga Ulie Tu!
aaaaaaaaaaaaaahhh nalia jamani jamani hawa yanga mungu atawalani mtafungwa kwenye fainali ya dunia pale japan mwaka ujaaoooo ndio dua zangu kwa kumkatisha simba safari yake ya pale angola kukutanana na liboolooo waaaahhh wahhh nalia kweli kweli ahhhhh.Naona Wake Zetu Leo Mlikuwa Mnacheza Ili Kugombania Nani Wa Kuja Kulala Na Mnyama Simba Na Bahati Nzuri Leo Nalala Na Azam Wewe Yanga Ulie Tu!
aaaaaaaaaaaaaahhh nalia jamani jamani hawa yanga mungu atawalani mtafungwa kwenye fainali ya dunia pale japan mwaka ujaaoooo ndio dua zangu kwa kumkatisha simba safari yake ya pale angola kukutanana na liboolooo waaaahhh wahhh nalia kweli kweli ahhhhh.