Sawa mabingwa wa ligi ya Hans Popo mwakani mtawakilisha Tanganyika kombe la mapinduziUkiangalia kwa undani sisi ndiyo mabingwa halisi. Ktk ligi ndogo (yenye timu kubwa za Simba, Azam, na Yanga) sisi ni mabingwa (tulivuna pts 4 kwa Yanga, na 4 kwa Azam). Simba ina point 8; Azam ina 5, na Yanga ni ya mwisho ina pts 2 tu!
