Ligi Kuu ya Vodacom: Yanga Afrika vs Azam, 6 Mei 2015

Ligi Kuu ya Vodacom: Yanga Afrika vs Azam, 6 Mei 2015

Ukiangalia kwa undani sisi ndiyo mabingwa halisi. Ktk ligi ndogo (yenye timu kubwa za Simba, Azam, na Yanga) sisi ni mabingwa (tulivuna pts 4 kwa Yanga, na 4 kwa Azam). Simba ina point 8; Azam ina 5, na Yanga ni ya mwisho ina pts 2 tu!
Sawa mabingwa wa ligi ya Hans Popo mwakani mtawakilisha Tanganyika kombe la mapinduzi
 
Simba haina uhusiano na chama chochote cha siasa tofauti na Yanga iliyofanya ikulu na Bunge kama kijiwe cha kuongelea mambo ya Yanga.

Nadhani hapo umenielewa.
hivi alikuwa mwenyekiti wa timu ipi ni mbunge wa ccm
 
Simba haina uhusiano na chama chochote cha siasa tofauti na Yanga iliyofanya ikulu na Bunge kama kijiwe cha kuongelea mambo ya Yanga.

Nadhani hapo umenielewa.

Hahahaha! Tuambie tu kwamba chama cha NYEKUNDU na NYEUPE si ndio kile kile chama cha wapemba wa Simba...?

Timu yenu imedoda kama chama chenu hicho cha CUF...!
Eti Wenyewe mnakaa kabisa kuangalia Game kwamba Yanga Fc atamfunga Azam ili akunufaishe..!

Lol!
 
Kawaida hiyo hata TFF wanajua mpira Tanzania ni Yanga na Azam hayo mengine makapi tuu. Hata mtoto mdogo ukimwambia kama yanga kachukua ubingwa atajua tuu kuwa anayefuatia ni Azam.

Acheni kujipa matumaini wakati uwezo hamna.

ndio maana niseme kwamba zawadi zimeletwa mapema kwa sababu bingwa na mshindi wa pili walijulikana hata kabla ya mechi.
 
simba.jpg

Kufungwa wamefungwa Yanga na Azam huyu jamaa wa Mbumbu FC analia yeye...inashangaza huo uchungu wa kufungwa kaupataje@grafani11
 
Simba haina uhusiano na chama chochote cha siasa tofauti na Yanga iliyofanya ikulu na Bunge kama kijiwe cha kuongelea mambo ya Yanga.

Nadhani hapo umenielewa.

Ni kweli, Simba haina chama hapa Tanzania maana wenzake walishatimuliwa na Nyerere tangu 1961.

Bila shaka hata kile choo cha Rais pale Ikulu hajawahi kukinyea mtu yeyote kutoka timu ya mikia, ni Yanga tu, timu ya wananchi.

Najua utakuja na mitusi yako, ukomee huko huko! Nilichoandika hapo juu ndio ukweli wenyewe, kweli tupu.
 
Mpira Pesa!

At least ungeanza kushabikia soka wakati Simba inacheza na TP Mazembe Dsm ungeweza kulijibu swali langu ipasavyo vinginevyo unazidi kudhihirisha utoto wako kwenye hoja za kisoka.
 
Naona Una Hamu Na Libolo FC. Kama Vipi Njoo Ili Okwi Akupe Libolo FC Jingine Kisha MKASEREBUKE Nalo Na Akina " Jenny Murro " Na Mzee " Akili Lakini Hana Mali ".

Hahahahaaaaaa....mkuu unapoteza nguvu kujibu misukule ya manji ambayo haijui hata uchaguzi mkuu ni lini japo kalenda imeshapita.
Ameyaambia hatoki mpaka arudishe bao 5-0 hata kama next time tutamuongeza 5 mengine.
Na yenyeywe yamekubali kwa kupewa ubingwa wa kununua usio hata na heshima maana kachapwa mkia na mnyama kachapwa mikia miwili na Azam na bado anafurahia kisa tu ameikimbia Simba kwenye ufunguzi wa ligi. Tehehetehe....
 
hivi alikuwa mwenyekiti wa timu ipi ni mbunge wa ccm

Mbunge na Mwenyekiti wa chama/Rais wa Nchi nani ni mkuu kuliko mwenzake?
Ukishindwa hata hilo kweli wewe ni Kiranja wa mbumbumbu Mirembe.
 
At least ungeanza kushabikia soka wakati Simba inacheza na TP Mazembe Dsm ungeweza kulijibu swali langu ipasavyo vinginevyo unazidi kudhihirisha utoto wako kwenye hoja za kisoka.

Ungeuliza hili swali mapema ili nimpe simu Mwanangu hapa apate kukujibu.. maana naye alipana nafasi ya kutazama hiyo Mechi.
 
mbunge na mwenyekiti wa chama/rais wa nchi nani ni mkuu kuliko mwenzake?
Ukishindwa hata hilo kweli wewe ni kiranja wa mbumbumbu mirembe.

mwenyekiti wa chama sio kiongozi ni shabiki, mbunge alikuwa ni kiongozi wa hiyo timu...ata mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani ni shabiki mkuu wa hiyo timu je tuiite ni timu ya chama gani mkuu???
 
mwenyekiti wa chama sio kiongozi ni shabiki, mbunge alikuwa ni kiongozi wa hiyo timu...ata mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani ni shabiki mkuu wa hiyo timu je tuiite ni timu ya chama gani mkuu???

Kweli ndio maana GENTAMYCINE huwaita mapopompo, unashindwa kufahamu kuwa familia nzima ya huyo unayemtetea ni yeboyebo pamoja na yule mbunge kijana ambaye huwa mnapeleka timu kambini jimboni mwake kila siku aliwahi kuwa kiongozi ndani wa yeboyebo!
 
Last edited by a moderator:
Ungeuliza hili swali mapema ili nimpe simu Mwanangu hapa apate kukujibu.. maana naye alipana nafasi ya kutazama hiyo Mechi.

Sasa hivi amechukuliwa na mafuriko ya jangwani? Nenda Daraja la Salenda unaweza kubahatisha.
 
Kweli ndio maana GENTAMYCINE huwaita mapopompo, unashindwa kufahamu kuwa familia nzima ya huyo unayemtetea ni yeboyebo pamoja na yule mbunge kijana ambaye huwa mnapeleka timu kambini jimboni mwake kila siku aliwahi kuwa kiongozi ndani wa yeboyebo!

Nafikiri wewe mataokea yako ya kidato cha iv sawa na mwenyekiti wako wa zamani mpiga gita Hassan Dalali
 
Back
Top Bottom