ligi msimu huu viwanja vibovu sana

ligi msimu huu viwanja vibovu sana

Danielmwasi

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2021
Posts
2,134
Reaction score
3,834
I couldn't watch the match between Singida Big Stars and Ken Gold due to the surroundings of the pitch. The environment is so bad that it's unwatchable.

What does TFF do with the money they earn?


kiwanja mama wanatembea wanauza maparachichi đźš®.
 
Tff kwa maslahi mapana ya ligi wangetumia viwanja 1.Azam 2.Mkapa 3.Rhino Manyara 4.Kmc complex 5.Uhuru (ila nna mashaka nao) 6.Kaitaba (na mashaka nao) Kirumba kwa shida shida
 
Jengeni vyenu.


KenGold wamejitahidi kuwa na uwanja wao. jambo ambalo watani wa jadi limewashinda
 
Back
Top Bottom