The Bourne
JF-Expert Member
- Aug 24, 2017
- 1,077
- 1,321
Sio kweli, hawasheherekei sababu sio wakristoWanasherekea sikukuu kama kawaida, Xmass haiwezi kuzuia kusiwe na ligi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kweli, hawasheherekei sababu sio wakristoWanasherekea sikukuu kama kawaida, Xmass haiwezi kuzuia kusiwe na ligi.
Sio kweli, hawasheherekei sababu sio wakristo
Tulitarajia kwao ingekuwa na heshima zaidi kuliko hata hayo mataifa mengine ya Duniani lakini kinachoonekana sherehe hii kwao ni kama Baba jesca anvyoiona sherhe ya muungano.Wanasherekea sikukuu kama kawaida, Xmass haiwezi kuzuia kusiwe na ligi.
Uyo hapo Netanyau akiwatakia xmass njema.![]()
Nani aliichagua?Yes hakuzaliwa 25/12/....... Siku ilochaguliwa tu km siku yakimataifa ya kukumbuka kuzaliwa kwa yesu.
Yaaan siku km hii nisawa na siku ya Watoto duniani .....tofauti krismas ni kidin zaid.
Waizael hawana x masNchi nyingi kesho ni mapumziko ya mechi za mpira kupisha na kusheherekea Xmas isipokuwa nchi kama za misri saudia na Israel
Je wao kwao hii sio sikukuu? Au ndo inasheherekewa Kwa kuangalia game
SafiUkisema mi Africans tuko.. unanijumuisha na Mimi, hapana, mimi nilijua tangu nikiwa Sunday school kuwa Wa ebrania, Wayahudi, siyo wafuasi wa kristo. Ingawa wapo wa Israel Waislam na Wakristo pia wapo.
Mkuu nimaelezo marefu kidogo.Nani aliichagua?
Wengi hawajui hayoWayahudi hawamtambui jesus kama mtume wao wanamtambua Musa wala hawayataki makanisa wala misalaba
Wao ndo maadui wa yesu kristo wakimuunga mkono watakua wamekanyaga matapishi yaoNchi nyingi kesho ni mapumziko ya mechi za mpira kupisha na kusheherekea Xmas isipokuwa nchi kama za misri saudia na Israel
Je wao kwao hii sio sikukuu? Au ndo inasheherekewa Kwa kuangalia game
Israel wanatambua moses ni kiongozi wao wa kwanza na mkombozi dhidi ya uovu wa Mwarabu sliyewafanya watumwa, Jesus na manabii wengine ni sehemu kutoka wao, hivyo wana haki kujiweka kando na injili.Wengi hawajui hayo