LIGI YA ISRAEL HAINA X MASS

LIGI YA ISRAEL HAINA X MASS

Sio kweli, hawasheherekei sababu sio wakristo

Uyo hapo Netanyau akiwatakia xmass njema.
72bbc87909b5193231c8662f121d0035.jpg
 
Yes hakuzaliwa 25/12/....... Siku ilochaguliwa tu km siku yakimataifa ya kukumbuka kuzaliwa kwa yesu.


Yaaan siku km hii nisawa na siku ya Watoto duniani .....tofauti krismas ni kidin zaid.
 
Wanasherekea sikukuu kama kawaida, Xmass haiwezi kuzuia kusiwe na ligi.
Tulitarajia kwao ingekuwa na heshima zaidi kuliko hata hayo mataifa mengine ya Duniani lakini kinachoonekana sherehe hii kwao ni kama Baba jesca anvyoiona sherhe ya muungano.
Haina heshima
 
Ishu sio kuwish ishu kwao xmas sio big deal km kuwish hata eid huwa anawish[emoji115]
 
Nchi nyingi kesho ni mapumziko ya mechi za mpira kupisha na kusheherekea Xmas isipokuwa nchi kama za misri saudia na Israel
Je wao kwao hii sio sikukuu? Au ndo inasheherekewa Kwa kuangalia game
Waizael hawana x mas
 
Ukisema mi Africans tuko.. unanijumuisha na Mimi, hapana, mimi nilijua tangu nikiwa Sunday school kuwa Wa ebrania, Wayahudi, siyo wafuasi wa kristo. Ingawa wapo wa Israel Waislam na Wakristo pia wapo.
Safi
 
Nani aliichagua?
Mkuu nimaelezo marefu kidogo.

Ila kwaufupi..mama wayesu alipata mimba ikiwa nimwezi Wa Sita,,,,,, mpaka kufikia mwezi wakumi nambili ,nimiezi sita...sasa nikuulize Luna mwanadam alokamilika anayezaliwa kwamiezi 6 ???.
 
Nchi nyingi kesho ni mapumziko ya mechi za mpira kupisha na kusheherekea Xmas isipokuwa nchi kama za misri saudia na Israel
Je wao kwao hii sio sikukuu? Au ndo inasheherekewa Kwa kuangalia game
Wao ndo maadui wa yesu kristo wakimuunga mkono watakua wamekanyaga matapishi yao
 
Wengi hawajui hayo
Israel wanatambua moses ni kiongozi wao wa kwanza na mkombozi dhidi ya uovu wa Mwarabu sliyewafanya watumwa, Jesus na manabii wengine ni sehemu kutoka wao, hivyo wana haki kujiweka kando na injili.
 
X mass ni sikukuu ya upagani

Dini ya uyahud ipo miaka ming sana ,hakukuwa na hiyo x mass ,x mass imeanzia vatcan
 
Back
Top Bottom