Ligi ya Kenya naona kama imeshuka sana

uhurumoja

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2014
Posts
9,616
Reaction score
22,521
Ukiangalia wachezaji wengi ni WA kawaida huenda coastal ukienda Kenya inakuwa bingwa tena bila kufungwa hasa golini akiwepo Matampi
Hapa naangalia game ya Gor na Shabana dah ni kama ndondo flani
Ila kitu nawapongeza naona Wana viwanja vizuri kuzidi NBC
Tff na bodi ya ligi wazuie kabisa baadhi ya viwanja kutumika ligi kuu.
 
Tanzania kwa Afrika ya Mashariki ni Kati, unaweza kuifananisha na England. Yaani wachezaji wengi wa hayo maeneo wanatamani kuchezea Ligi ya Bongo.

Na katika hili nampongeza Wallace Karia. Pamoja na kuendekeza kwake majungu, upigaji na ubabe wake wa kipuuzi; ila bado ameweza kuiongezea thamani Ligi yetu.
 
Nimeangalia hiyo game, ilikuwa kali ila timu zilicheza kama makolo hakuna mipango ya goli ilimradi kupasiana tu kukuru kakara kibao na mpira hauvutii, timu kali haijulikani na mbovu haijulikani ila refa mwanamke alimudu mno pambano, ni mkali kama pilipili anaona kila tukio kupita hata VAR na anakimbia kuzidi Juma Ikangaa au Kipchoge ! Kila mahali mpira ulipo nayeye black beauty yupo. Na hatishiki, Shabana walimpiga mikwara kibao!!! Marefa wa bongo wajifunze kwa yule mwamuzi demu wa Kenya , alichezesha vizuri mno na kwa haki mwanzo mwisho.

Kiwanja kina majukwaa ya ndondo cup. Ya kizamaaani!! Pitch za Kenya ni aibu, vumbi linatimka , wekeni carpet nyie wakenya boli itembee, acheni ubahili, kazi kuvaa suti na kujisifia tu!!

Kenya kwenye boli bado sana!!
 
Karia ameongeza vipi thamani ya ligi?
 
Uko sahihi kabisa Karia kafanya kazi kubwa sana kwa soka letu na ukweli atakae kuja baada yake ana kazi ya kufanya ila jamaa kazi kapiga tena kisomi mno mi sehemu pekee bado nailaumu hasa serikali na vilabu ni viwanja
Ila kazi imefanyika
 
Refa alijitahidi sana lakini kwa aina Ile ya wachezaji kama yule mpiga Kona na foul wa red team ilikuwa lazima awamudu hapa kwetu game ya coastal na Namungo ilivyo na speed lazima refa achanganyikiwe
 
Pamoja na Azam kwenda ila bado tuu.
 
Yes
Leo nimeangalia gor mahia wachezaji wengi Ni ma father Kama saidoo ukimbiaji , mbinu, akili kiduchu , ligi hauna mvuto wanacheza Kama mechi za maveterani πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ulimwona Yule straika Rasta wa Shabana anapiga Kona Kama adondoke alaf Ni li dingi utazani Ni Bonanza la maveterani πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Yes
Leo nimeangalia gor mahia wachezaji wengi Ni ma father Kama saidoo ukimbiaji , mbinu, akili kiduchu , ligi hauna mvuto wanacheza Kama mechi za maveterani πŸ˜‚πŸ˜‚
Veterans pure umeona yule jamaa ras wa red team!?na ndie specialist wa Kona na faulo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Sasa pale Balua akienda si anakuwa Modric
Aisee league inahuzunisha commentator anakwambia "game"ilikuwa ngumu sana kwa Gor
 
Sio Azam media ndiye aliyeipa ligi ya Tanzania thamani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…