Ligi ya Kenya naona kama imeshuka sana

Miaka ya zamani ligi ya kenya ilikua hatari akina gor mahia, sofapaka, tusker, afc leopards ila kipnd hichi mdebwedo sana
 
kwenzi la FIFA lina madhara makubwa sana 🐒
 
Ulimwona Yule straika Rasta wa Shabana anapiga Kona Kama adondoke alaf Ni li dingi utazani Ni Bonanza la maveterani 😂😂
Yani yule ndie nilimuona nikasema basi tena halafu wako wawili ni bonge hatari
Mtangazaji alisema jamaa kachonga Kona nzuri ila wamaliziaji ndio hawakuwa makini 😂😂😂
Alipiga na foul Moja jamaa ni noma
 
Imeshuka sawa

Je lini walipanda viwango hiyo farmers ligi?
Kuna nyakati Gor walicheza hadi robo final nadhani ya cafcc wakati kagere anakipiga huko
Kumbuka Aucho akiwa wa moto kabisa alikuwa league ya kenya
 
Viwanja Vizuri wanavyo viwili tu pale Nairobi.
 
Miaka ya zamani ligi ya kenya ilikua hatari akina gor mahia, sofapaka, tusker, afc leopards ila kipnd hichi mdebwedo sana
Ile Derby yao ya Kisiasa sana
Gorimahia na FC Leopards
 
Viwanja Vizuri wanavyo viwili tu pale Nairobi.
Inawezekana na ndivyo wanavyovionesha na watu husifia kile wanachoona
Hapa kwetu ukiangalia uwanja wa jkt,Tabora,Mkwakwani,mbeya n.k unabaki na hitimisho kuwa viwanja ni vibaya
Ukiangalia mara nyingi kocha na wachezaji huwa wanalalamika kuhusu viwanja hasa ule wa Dodoma.
 
Ile Derby yao ya Kisiasa sana
Gorimahia na FC Leopards
Na hiyo siasa ndio iliua kabisa ligi ya Kenya na mpira wao kwa ujumla
Hapa kwetu Karia kupambana sana japo Kuna wakati anashindwa (refer mechi ya watani ilio ahirishwa 2021)
 
Na hiyo siasa ndio iliua kabisa ligi ya Kenya na mpira wao kwa ujumla
Hapa kwetu Karia kupambana sana japo Kuna wakati anashindwa (refer mechi ya watani ilio ahirishwa 2021)
Politics kills Football
 
Simbezi karia hapana
Naona timu za Tanzania zina extravagant ambitious ndo sababu ya ligi kufanya vizuri ni tofauti na kenya wamejikatia tamaa
 
Ligi ya Tanzania ina miundombinu (viwanja) vibovu sana alafu ndo ligi bora afrika mashariki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…